Hizi ndio nchi 10 pekee Afrika ambazo hazijawahi kuwa na mapinduzi ya Serikali.

Tanganyika si ndo hiyo hiyo Tanzania?
Ww unaweza itenganisha Tanzania na Tanganyika?

Ndiyo.

Tanganyika ilikufa April 26, 1964.

Tanzania ilizaliwa April 26, 1964, baada ya Tanganyika kufa na kuungana na Zanzibar.

Kimsingi, Tanganyika haipo kwenye USO wa dunia
 
Another Bonus: Zambia na Zimbabwe ndizo nchi pekee zinazoanza na herufi "Z" Duniani.. Nchi hizi ni majirani 🙂
 
Mjukuu wangu,,elewa kua Tanganyika ndo Tanzania mwenyewe na Zanzibar kaolewa na hawezi pata taraka kiurahisi.
Umenielewa mjukuu wangu?

Nimekuambia katika mtazamo wa kisheria.

Huko kwingine unapokwenda sipatambui.

Nchi zote dunian zipo kisheria na siyo kihisia kama unavyomaanisha eti Tanzania ni Tanganyika wakati Tanganyika+Zanzibar=Tanzania.
 
Vipi Kongo DRC
 
Swali: Je unadhani kutokua na mapinduzi ya kiserikali ni alama ya ukomavu wa kisiasa, au kukosa watu wenye maono tofauti yenye ushawishi, au woga?
BONUS: Kenya ndio nchi pekee Afrika yenye jina linaloanza na K.
NAWASILISHA.
Ingependeza pia kati ya nchi hizo ni nchi ngapi zimeongozwa na CCM, ingeongezea nyama zaidi kwenye mada yako. Nategemea utanielewa ipasavyo!
 
Tanzania NO, ila Tanganyika kulifanyika mapinduzi 1964, January. Japo yalidumu kwa siku kama 3 hivi kabla ya UK kuna kuyatuliza majeshi ya Tanganyika
Yale hayakuwa mapinduzi ya utawala wa serikali. It was not a 'COUP DETAT'.

Ule ulikuwa mgomo au uasi wa baadhi ya wanajeshi kudai maslahi flani. It was a 'MUTINY'.
Mkuu hapa kaeleza vizuri kabisa.
 
Ingependeza pia kati ya nchi hizo ni nchi ngapi zimeongozwa na CCM, ingeongezea nyama zaidi kwenye mada yako. Nategemea utanielewa ipasavyo!
Hahaha nimekupata Mkuu no moja tu.
 
Ndiyo.

Tanganyika ilikufa April 26, 1964.

Tanzania ilizaliwa April 26, 1964, baada ya Tanganyika kufa na kuungana na Zanzibar.

Kimsingi, Tanganyika haipo kwenye USO wa dunia
Zanzibar ndio kuliwahi fanyika mapinduzi.karume alimpindua waziri mkuu wa Zanzibar Mohamed shamte hamad
 
Mkuu mwaka 1964 kulikuwa na mapinduzi ambayo kwa bahati nzuri yalizimwa mapema, vinginevyo hakuna ajuaye madhara yake yangekuwa vipi kwa vizazi vilivyofuatia. Jeshi liliasi ikabidi waingereza warudi kuokoa mambo.
Safi kuweka kumbukumbu sawa, dogo wa digital, hajafanya tafiti, kakurupuka
 
Hizo nchi ni waoga zina umasikini wa kutupwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…