Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Imeandikwa "nawapatiliza Wana maovu ya baba yao"Tusamehe ndugu yangu,usitujumlishe wote,wakati huo mimi nilikuwa na mwaka mmoja!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imeandikwa "nawapatiliza Wana maovu ya baba yao"Tusamehe ndugu yangu,usitujumlishe wote,wakati huo mimi nilikuwa na mwaka mmoja!
AWameshawahi kukupiga tukio?
Agano la kale hilo ndugu,nakutafuta sana,kumbe una kazi nitakuja hadi home nikae kamwaka tuu narudi home!Imeandikwa "nawapatiliza Wana maovu ya baba yao"
Aisee,wewe unaitwa home!Ni mzaliwa wa Kiteto Manyara ila kwa sasa nipo Kigoma kwenye shirika la umoja wa mataifa
Njoo nikuonyeshe kipigo anachostahili mbwa nzururajiAgano la kale hilo ndugu,nakutafuta sana,kumbe una kazi nitakuja hadi home nikae kamwaka tuu narudi home!
Kumbe nafaa kuja,mimi ndo kocha wa nikipigwa kama nimepiga na......nimepiga,nakuja christimas niandalie nauli na vitenge vya wax nimletee shangazi.Njoo nikuonyeshe kipigo anachostahili mbwa nzururaji
Kwanza umewahi kufanya biashara au ndio ujuaji wa jf kila mtu ana ofisi?Huyo ni mdogo wako ni mwanafamilia sio ndugu
Almost kufanyaje?Almost
Ndugu zako ni ya kablla la wanguu ,?Ni mzaliwa wa Kiteto Manyara ila kwa sasa nipo Kigoma kwenye shirika la umoja wa mataifa
Hao Ndugu umewaajiri au ni shareholders?Biashara ntashirikisha familia yangu niliyoijenga (hasa watoto) ama familia niliyotokea (kaka, dada, wadogo zangu, wazazi), nje ya hapo hawa watoto wa mjomba, ma mkubwa, ba mkubwa, ba mdogo, ndugu flani, n.k. sidhani kwakweli, undugu uwepo na ninaweza kuwasaidia mitaji ama kuwasimesha pamoja na kuwa mteja wa biashara zao lakini tusiingiliane kwenye usimamizi wa Biashara zangu
Unakuta wafanyakazi wengine wanafika saa moja asubuhi ndugu anafika saa mbili ama tatu, Ndugu akiumwa hata mafua anaweza asije kazini, hii inanijengea chuki kwa wafanyakazi wengine kwa kuona nina upendeleo wa wazi wazi.
Kuna ndugu wanajikuta wao mabosi kuwa sawa na mimi kisa tu tuna undugu, wanapitiliza kuanza kuwavimbia wafanya kazi wengine, huanza kujiona miungu watu kwa wafanyakazi wengine, hawa ndugu wa kiume baadhi yao huanza kutumia nafasi hii kuwanyanyasa kingono wafanyakazi wa kike
Ndugu hasa wasio na majukumu wanaanza kunichora kwamba naingiza pesa nyingi, maneno yanaanza kupelekwa vijijini kwamba naingiza pesa nyingi lakini siwasaidii kwa uwiano wa kiasi nachoingiza, hapo hawajui kwamba nalipa marejesho ya mkopo, nalipa kodi, nalipa mishahara, nalipia ulinzi, n.k.
[emoji16][emoji16]Ukute hata biashara yenyewe hauna[emoji119]
Utarudi vipi Asia ikiwa umezaliwa hapahapa Tz na ni Mtz pia ila tu una asili ya Asia?Hao kitu cha kwanza lazima muwe wamoja na mtaishi wote nyumba moja, hii naona inasaidia sana na inafanya wanafki watambulike haraka na kufungishwa virago kurudi huko Asia