Hizi ndio sababu kwanini ni rahisi kwenda mbinguni kuliko motoni

Hizi ndio sababu kwanini ni rahisi kwenda mbinguni kuliko motoni

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
1: Mungu ananguvu kuliko shetani.

2: Mungu ametoa kila kitu cha lazima mtu yeyote atakaye kwenda aende. Hakuna alichobakiza.

3: Neema ya Mungu ina nguvu kuliko nguvu ya dhambi

4: Kwa Mungu unaweza kuwa muovu miaka yako yote ilq sekunde moja tu kama mwizi msalabani ukasema Unikumbuke katika ufalme wako tayari tiketi ikiwa umemaanisha.

5: Biblia inaonyesha watakeondea mbinguni ni wengi kama mchanga wa bahari. Yaani hawahesabiki. Hata wewe ukitaka unaenda.

Ni hayo tu.
 
JamiiForums-2066617636_111746.jpeg
 
Ni rahisi kwenda mbinguni kuliko motoni sababu mbinguni ni sehemu ya wajinga wa duniani na motoni ni sehemu ya wajanja wa duniani. Kwaiyo inakua rahisi kwenda mbinguni sababu wajinga/wanyonge duniani ndio wengi na mbinguni ndo mahala pao
 
Sijui kama nitakuwa sahihi..

Kwa upande wangu, Huwa naamini hakuna moto. Sababu ni hizi;

Nikiangalia jinsi maisha ya ulimwengu yalivyo. Kuna watu wanaoishi maisha ya dhiki sana hapa ulimwenguni na wapo wanaoishi kifalme sana. Kuna watu tangu wanazaliwa Hadi wanakufa ni watu wa kuandamwa na magonjwa tu na wapo ambao ni nadra. Kuna watu wanazaliwa na ulemavu na wanateseka nao Hadi mwisho na wengine kinyume chake.

Kwa kuzingatia haya, naamini kabisa hakuna moto Kwa sababu, ikiwa Kuna mtu anaishi kifalme na ni mtenda dhambi, na yupo mwenye dhiki kuu, fukara pia mtenda dhambi, tukisema suala la kuingia wote motoni naona hakuna usawa hapo na tunajua Mungu wetu ni mwenye haki. Kuna mmoja mzani wake hautokuwa na balance. Fukara atakuwa kateseka mara mbili, hakuna sehemu atayafurahia maisha. Dunia ni kapata mateso na bado anaenda kukutana na adhabu ilhali tajiri kafurahia Dunia ni na kuteseka baadae.

Sijui kama naeleweka????

NAleta hoja ya pili...
 
Back
Top Bottom