Hizi ndio sababu kwanini ni rahisi kwenda mbinguni kuliko motoni

Hizi ndio sababu kwanini ni rahisi kwenda mbinguni kuliko motoni

Matunduizi wewe ni mtu wa maana kabisa ujue😁😁😁
Maana yangu inaanzia kwenye kuamini yasiyoonekana na kugusika. Mambo halisi ambayo kwa sasa yanaonekana kama ni upumbavu ujinga na ushamba. Ila sisi wengine tumshategua huo mtego wa dhihaka kwa mambo hayo kitambo saana. Uhalisia wa tukio la kwenda mbingini ni moyo wa uwepo wangu na uhai wangu. Sitenganishwi ha hiki mkuu
 
mzungu anatengeneza mbingu yake duniani huku akimuambia mtu mweusi aombe sana kwani ameandaliwa mbingu angani. inafikirisha
Hao waliokufundisha hayo ni wazungu wajinga. Mzungu na yeye ni rahisi sana kwenda mbinguni akitaka kama wewe ilivyo rahisi. Wazungu wengi sana wa maana wako kwenye huùmpango. Achana na hawa wanaohubiti atheism na waumini wao unawaona kwenye maandishi ya michango humu
 
Maana yangu inaanzia kwenye kuamini yasiyoonekana na kugusika. Mambo halisi ambayo kwa sasa yanaonekana kama ni upumbavu ujinga na ushamba. Ila sisi wengine tumshategua huo mtego wa dhihaka kwa mambo hayo kitambo saana. Uhalisia wa tukio la kwenda mbingini ni moyo wa uwepo wangu na uhai wangu. Sitenganishwi ha hiki mkuu
Naijua hiyo mkuu pia miliambiwa wapo watakao jitokeza kuwadhihaki, mwandishi alijua kuwashika pabaya kweli .
 
1: Mungu ananguvu kuliko shetani.

2: Mungu ametoa kila kitu cha lazima mtu yeyote atakaye kwenda aende. Hakuna alichobakiza.

3: Neema ya Mungu ina nguvu kuliko nguvu ya dhambi

4: Kwa Mungu unaweza kuwa muovu miaka yako yote ilq sekunde moja tu kama mwizi msalabani ukasema Unikumbuke katika ufalme wako tayari tiketi ikiwa umemaanisha.

5: Biblia inaonyesha watakeondea mbinguni ni wengi kama mchanga wa bahari. Yaani hawahesabiki. Hata wewe ukitaka unaenda.

Ni hayo tu.
Ongezea mbinguni itaenda roho inayoamini na siyo mwili.
 
Unaishi nje ya maisha kama huna mpango wa kula meza moja na Mungu huko mbinguni.

Kama huna mpango Huo hauishi bali unapoteza maisha. Usiponielewa sasa hivi tutaelewana siku utakapothibitishiwa na mola kuwa ilikuwa rahisi sana ila masihara yako kwenye mambo mepesi ndio yamekughalimu.
 
Unaweza kunipa Fungu??
Maana Mi ninavyojua Kuwa walio Mbinguni Ni watu 144,0000 tu na sio Zaidi ya hao wengine tutasubiri Ishuke
Unaweza kuthibisha hoja yako mkuu?

Ufunuo wa Yohana 7:9
Baada ya hayo nikaona, na tazama, mkutano mkubwa sana ambao hapana mtu awezaye kuuhesabu, watu wa kila taifa, na kabila, na jamaa, na lugha, wamesimama mbele ya kile kiti cha enzi, na mbele za Mwana-Kondoo, wamevikwa mavazi meupe, wana matawi ya mitende mikononi mwao;

Baada ya hayo uliyoandika.
 
1: Mungu ananguvu kuliko shetani.

2: Mungu ametoa kila kitu cha lazima mtu yeyote atakaye kwenda aende. Hakuna alichobakiza.

3: Neema ya Mungu ina nguvu kuliko nguvu ya dhambi

4: Kwa Mungu unaweza kuwa muovu miaka yako yote ilq sekunde moja tu kama mwizi msalabani ukasema Unikumbuke katika ufalme wako tayari tiketi ikiwa umemaanisha.

5: Biblia inaonyesha watakeondea mbinguni ni wengi kama mchanga wa bahari. Yaani hawahesabiki. Hata wewe ukitaka unaenda.

Ni hayo tu.
Nipo hapa ngoja nisome comment
 
Back
Top Bottom