matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Ni rahisi kwenda mbinguni kuliko motoni sababu mbinguni ni sehemu ya wajinga wa duniani na motoni ni sehemu ya wajanja wa duniani. Kwaiyo inakua rahisi kwenda mbinguni sababu wajinga/wanyonge duniani ndio wengi na mbinguni ndo mahala pao1: Mungu ananguvu kuliko shetani.
2: Mungu ametoa kila kitu cha lazima mtu yeyote atakaye kwenda aende. Hakuna alichobakiza.
3: Neema ya Mungu ina nguvu kuliko nguvu ya dhambi
4: Kwa Mungu unaweza kuwa muovu miaka yako yote ilq sekunde moja tu kama mwizi msalabani ukasema Unikumbuke katika ufalme wako tayari tiketi ikiwa umemaanisha.
5: Biblia inaonyesha watakeondea mbinguni ni wengi kama mchanga wa bahari. Yaani hawahesabiki. Hata wewe ukitaka unaenda.
Ni hayo tu.
Leo watu wamepatwa na nini??๐ ๐Hahahaha na wewe mkubwa hivyo unaamini hizo hadith ๐๐๐
Ukiona hivyo wamekaribia kupumzika kwa amani.Leo watu wamepatwa na nini??๐ ๐
Maana naona Kila uzi ni Biblia
Wakiangalia dalili mwisho umekaribia mkuu ,wanachukua points 3 kuvuna kondoo wa kwenda nao mbinguni kaka mkubwa.Leo watu wamepatwa na nini??๐ ๐
Maana naona Kila uzi ni Biblia
Huenda ni alert Tanzania inaingia kwenye majangaLeo watu wamepatwa na nini??๐ ๐
Maana naona Kila uzi ni Biblia
MI naona Imeandikwa Mbingu itashuka Chini sasa wanaenda Mbunguni kufanyajeWakiangalia dalili mwisho umekaribia mkuu ,wanachukua points 3 kuvuna kondoo wa kwenda nao mbinguni kaka mkubwa.
Ni harusi moja tu ya mwanakondoo , hakuna kula wala kuoa mkuu.MI naona Imeandikwa Mbingu itashuka Chini sasa wanaenda Mbunguni kufanyaje
Acha utani mzee. Utakosa vinono kizembe sana ukiendelea na msimamo wako mufirisi. โบNi harusi moja tu ya mwanakondoo , hakuna kula wala kuoa mkuu.
Asante kwa mchango mzuriUsipende Sana kuwa Mtu Hovyoo!!
Matunduizi wewe ni mtu wa maana kabisa ujue๐๐๐Acha utani mzee. Utakosa vinono kizembe sana ukiendelea na msimamo wako mufirisi. โบ
Tunaanzia mbinguni mkuu. Hayo ni sehemu ya matokeo ya shamlashamla hizo.MI naona Imeandikwa Mbingu itashuka Chini sasa wanaenda Mbunguni kufanyaje
mwacheHahahaha na wewe mkubwa hivyo unaamini hizo hadith ๐๐๐
Sawa boss๐mwache