DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Unaweza kunipa Fungu??Tunaanzia mbinguni mkuu. Hayo ni sehemu ya matokeo ya shamlashamla hizo.
Maana yangu inaanzia kwenye kuamini yasiyoonekana na kugusika. Mambo halisi ambayo kwa sasa yanaonekana kama ni upumbavu ujinga na ushamba. Ila sisi wengine tumshategua huo mtego wa dhihaka kwa mambo hayo kitambo saana. Uhalisia wa tukio la kwenda mbingini ni moyo wa uwepo wangu na uhai wangu. Sitenganishwi ha hiki mkuuMatunduizi wewe ni mtu wa maana kabisa ujue😁😁😁
Sio kweli. Hapo nimetoa point watu kama mchanga wa bahariUnaweza kunipa Fungu??
Maana Mi ninavyojua Kuwa walio Mbinguni Ni watu 144,0000 tu na sio Zaidi ya hao wengine tutasubiri Ishuke
Hao waliokufundisha hayo ni wazungu wajinga. Mzungu na yeye ni rahisi sana kwenda mbinguni akitaka kama wewe ilivyo rahisi. Wazungu wengi sana wa maana wako kwenye huùmpango. Achana na hawa wanaohubiti atheism na waumini wao unawaona kwenye maandishi ya michango humumzungu anatengeneza mbingu yake duniani huku akimuambia mtu mweusi aombe sana kwani ameandaliwa mbingu angani. inafikirisha
Naijua hiyo mkuu pia miliambiwa wapo watakao jitokeza kuwadhihaki, mwandishi alijua kuwashika pabaya kweli .Maana yangu inaanzia kwenye kuamini yasiyoonekana na kugusika. Mambo halisi ambayo kwa sasa yanaonekana kama ni upumbavu ujinga na ushamba. Ila sisi wengine tumshategua huo mtego wa dhihaka kwa mambo hayo kitambo saana. Uhalisia wa tukio la kwenda mbingini ni moyo wa uwepo wangu na uhai wangu. Sitenganishwi ha hiki mkuu
Ongezea mbinguni itaenda roho inayoamini na siyo mwili.1: Mungu ananguvu kuliko shetani.
2: Mungu ametoa kila kitu cha lazima mtu yeyote atakaye kwenda aende. Hakuna alichobakiza.
3: Neema ya Mungu ina nguvu kuliko nguvu ya dhambi
4: Kwa Mungu unaweza kuwa muovu miaka yako yote ilq sekunde moja tu kama mwizi msalabani ukasema Unikumbuke katika ufalme wako tayari tiketi ikiwa umemaanisha.
5: Biblia inaonyesha watakeondea mbinguni ni wengi kama mchanga wa bahari. Yaani hawahesabiki. Hata wewe ukitaka unaenda.
Ni hayo tu.
Mambo ya Mungu hayana uhusiano na mzungu. Huo ni upotofu wa wazungu walipoteza mwelekeo wa maisha.Naijua hiyo mkuu pia miliambiwa wapo watakao jitokeza kuwadhihaki, mwandishi alijua kuwashika pabaya kweli .
Wanataka kutrendLeo watu wamepatwa na nini??😅😅
Maana naona Kila uzi ni Biblia
Acha utani wazungu wamepoteza mwelekeo upi kaka?Mambo ya Mungu hayana uhusiano na mzungu. Huo ni upotofu wa wazungu walipoteza mwelekeo wa maisha.
Na wewe nae upo kwenye , mkenge wa kwenda mbinguni master?Tukutane mbinguni mkuu
Unaweza kuthibisha hoja yako mkuu?Unaweza kunipa Fungu??
Maana Mi ninavyojua Kuwa walio Mbinguni Ni watu 144,0000 tu na sio Zaidi ya hao wengine tutasubiri Ishuke
Hebu Nionyeshe Mkuu Sehemu inayosema Watu wanaoingia Mbinguni kama Machanga wa BahariSio kweli. Hapo nimetoa point watu kama mchanga wa bahari
Sehemu pekee ambapo kuna uzima wa milele nakataaje kwenda mkuu?Na wewe nae upo kwenye , mkenge wa kwenda mbinguni master?
Sawa master kila la heri.Sehemu pekee ambapo kuna uzima wa milele nakataaje kwenda mkuu?
Karibu sana mkuuSawa master kila la heri.
Nipo hapa ngoja nisome comment1: Mungu ananguvu kuliko shetani.
2: Mungu ametoa kila kitu cha lazima mtu yeyote atakaye kwenda aende. Hakuna alichobakiza.
3: Neema ya Mungu ina nguvu kuliko nguvu ya dhambi
4: Kwa Mungu unaweza kuwa muovu miaka yako yote ilq sekunde moja tu kama mwizi msalabani ukasema Unikumbuke katika ufalme wako tayari tiketi ikiwa umemaanisha.
5: Biblia inaonyesha watakeondea mbinguni ni wengi kama mchanga wa bahari. Yaani hawahesabiki. Hata wewe ukitaka unaenda.
Ni hayo tu.
Apana master mimi ndio nitakua kiongozi wenu huko mbinguni wewe tulia tu utaonaKaribu sana mkuu