Hizi ndio sababu kwanini ni rahisi kwenda mbinguni kuliko motoni

Bro, Mungu akubariki sana na Mungu azidi kukubariki sana sana sana
 
Broo, kuhusu kula bata na wenye dhambi, na wote waende motoni alafu wewe uende Mbinguni...

Hili ni ngumu sana kutokea..

Soma Wagalatia 5:25 SUV‬
[25] Tukiishi kwa Roho, na tuenende kwa Roho.

Ukienenda kwa Roho, hadi marafiki wako watachujika, maana Roho ni Mungu mwenyewe, na Mungu hafungamani na mwenye dhambi.
 
Hata kama ni maadui zangu kama nikibadilika na kuwa mtu wa furaha wakati nakula na kusaza wakati hapo chini kuna wadau wanakufa njaa watoto kwa wazee na mimi ninachekelea na kufurahia..., huyo mimi wa kesho nadhani nitakuwa duni kuliko mimi wa leo ambaye sifurahishwi na suffering....
 
Dr. Nimesahau kidogo, labda ningeona nikakumbuka. Ila ulieleza concept ya mama wa Yesu kutokuwa bikra.
Nop Hapana..
Nilisema kuhusu Lile Fungu la Isaya Linalosema Bikra kuchukua Mimba..
Neno Lililotumiwa ni Ha'Almah "Msichana mdogo" na sio Betulah " Bikra"
 
Reactions: 511
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…