GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
1. Wachezaji hawakuwa Mali yao bali ni wa Mkopo kutoka kwa Wakata Congo.
2. Kukopwa sana Pesa na Viongozi na kulipwa kwa kusumbuana mno.
3. Kilichomtokea mwenzao mmoja kuhusu Mkataba wake, kunyanyasika na kudhalilika kumewachukiza wengi.
4. Wachezaji hawataki tena kuwa sehemu ya kushuhusdia dhambi ya ununuaji wa mechi na matokeo kama uliofanyika kwa Misimu miwili iliyopita.
5. Vitendo vya Sodoma na Gomorah vimeanza kwa baadhi yao na Wakubwa.
Hapa GENTAMYCINE naikumbuka Meseji ya Dogo Kipa Ramadhan Kabwili alipomwambia Dogo wa Azam FC 'B' kuwa asishangae sana kwani mambo ya Sodoma na Gomorah katika Vilabu Vikubwa ni ya Kawaida.
6. Wachezaji wanaoondoka wameshasoma Alama za Nyakati kuwa Kocha ajae huenda akawa si Mzungumzaji Kifaransa mwenzao yule mpole wa Sudan na akaja Yyle Fyatu wa Uganda na wasipate namba na wazawa ndiyo wakapata namba.
7. Timu imetumia hela nyingi kuyapata mafanikio waliyoyapata ila ilichoingiza ni kiduchu hivyo Mstaafu aliyekuwa nae akitoa pesa zake nyingi na yule tajiri aliyeko hadi nchini Kenya kibiashara sasa wanataka kujitoa na Mdhamini mkubwa aliyeko nae anataka kukaa pembeni kwani alidhani umati uliokuwa ukijitokeza viwanjani kwa uwingi wao ule ule ungekuwa unalalia katika 'Masponji' yao yaliyotapakaa kumbe wengi wao wanalalia mikeka tu kama siyo na maboksi.
Cc: Dr Matola PhD, SAGAI GALGANO, Frank Wanjiru
ANGALIZO
Humpendi GENTAMYCINE na Unamchukia hadi kutamani afe halafu humuamini pamoja na kumdharau mno jambo jepesi la kufanya ni kutosoma mada zake, kumbloku (Ignore) kabisa hapa JamiiForums.
Na ukienda kinyume na ukaendelea kumsoma, kumjibu na kuchangia mada zake unathibitisha kuwa mnampenda, anakuvutia na unamkubali hakuna mfano hapa JamiiForums ila Kumchukia Kwako ni Kuzuga tu watu(Members) hapa JamiiForums.