Hizi ndio sababu zinazofanya Makocha na Wachezaji wengi kuondoka Yanga

Mdhamini mkubwa aliyeko nae anataka kukaa pembeni kwani alidhani Umati uliokuwa ukijitokeza Viwanjani kwa Uwingi wao ule ule ungekuwa Unalalia katika 'Masponji' yao yaliyotapakaa kumbe Wengi wao wanalalia Mikeka tu kama siyo na Maboksi.
🤣🤣🤣
 
1. Wachezaji hawakuwa Mali yao bali ni wa Mkopo kutoka kwa Wakata Viuno Nation.

2. Kukopwa sana Pesa na Viongozi na Kulipwa kwa Kusumbuana mno.

3. Kilichomtokea Mwenzao Mmoja kuhusu Mkataba wake, Kunyanyasika na Kudhalilika Kumewachukiza wengi.

4. Wachezaji hawataki tena kuwa sehemu ya Kushuhusdia dhambi ya Ununuaji wa Mechi na Matokeo kama uliofanyika kwa Misimu miwili iliyopita.

5. Vitendo vya Sodoma na Gomorah vimeanza kwa baadhi yao na Wakubwa.

Hapa GENTAMYCINE naikumbuka Meseji ya Dogo Kipa Ramadhan Kabwili alipomwambia Dogo wa Azam FC 'B' kuwa asishangae sana kwani Mambo ya Sodoma na Gomorah katika Vilabu Vikubwa ni ya Kawaida.

Na GENTAMYCINE nina Taarifa za Mmoja wa Viongozi wa Nakimbiwa Sina Hela FC kutoka kwa Rafiki yake wa Utotoni wakiwa Wanaishi maeneo ya Fire jirani na Nyumba za NHC kuwa Jamaa ( Kiongozi huyo ) ni Bingwa wa Michezo hiyo isiyotakiwa na mpaka sasa anayo ndiyo maana Wanawake wengi wa Mjini wanamkwepa na anakimbilia Wanawake wa Kigeni.

6. Wachezaji wanaoondoka wameshasoma Alama za Nyakati kuwa Kocha ajae huenda akawa si Mzungumzaji Kifaransa Mwenzao Yule Mpole wa Sudan na akaja Yule Fyatu wa Uganda na wasipate namba na Wazawa ndiyo wakapata namba.

7. Timu imetumia Hela nyingi kuyapata Mafanikio waliyoyapata ila ilichoingiza ni Kiduchu hivyo Mstaafu aliyekuwa nae akitoa Pesa zake nyingi na Yule Tajiri aliyeko hadi nchini Kenya Kibiashara sasa wanataka Kujitoa na Mdhamini mkubwa aliyeko nae anataka kukaa pembeni kwani alidhani Umati uliokuwa ukijitokeza Viwanjani kwa Uwingi wao ule ule ungekuwa Unalalia katika 'Masponji' yao yaliyotapakaa kumbe Wengi wao wanalalia Mikeka tu kama siyo na Maboksi.

Cc: Dr Matola PhD, SAGAI GALGANO, Frank Wanjiru

ANGALIZO

Humpendi GENTAMYCINE na Unamchukia hadi kutamani Afe halafu Humuamini pamoja na Kumdharau mno jambo jepesi la kufanya ni Kutosoma Mada zake, Kumbloku ( Ignore ) kabisa hapa JamiiForums.

Na ukienda Kinyume na ukaendelea Kumsoma, Kumjibu na Kuchangia Mada zake unathibitisha kuwa Unampenda, Anakuvutia na Unamkubali hakuna mfano hapa JamiiForums.

Kiasi kwamba Unatamani hata awe Baba yako wa Kambo katika Familia yako au awe Mumeo, ila Kumchukia Kwako ni Kuzuga tu Watu ( Members ) hapa JamiiForums.
Miye natamani niwe mumeo wa ndoa
 
Majibu.....

1. Zaliwa na Wazazi Werevu Kiasili

2. Penda mno Kusikiliza Taarifa za Habari na sana Kutizama Habari Runingani

3. Penda zaidi Kusoma Vitabu mbalimbali.

4. Penda Kusikiliza na Kujadili Mijadala ili Kukujenga Kujiamini Kiakili

5. Kuwa Mdadisi wa Masuala Mtambuka

6. Usiwe Mpuuzi na Mswahili kama Tate Mkuu

7. Mtumainie kwa kila Kitu Mwenyezi Mungu
Wewe ni Mzee wa multiple ID's! Hivyo usikute na hiyo ID iliyokujaza upepo hapo juu nayo ikawa ni ya kwako.

Si ndiyo wewe kila unapokula umeme, basi MINOCYCLINE lazima aje haraka jukwaani kuendeleza harakati za kipopoma! Mwisho wa siku wenye akili tunakugundua mapeema!!
 
Charismatic fella šŸ˜„šŸ˜„šŸ˜„.... Popoma for president
Huyu mkimpa urais, anaweza kuiuza hata jamii forums kwa ndugu zake wa Rwanda, halafu hela yote akaenda kuhongea wamama wa vicoba walioshindwa kutoa marejesho kwa wakati.

Kijana hana maana hata kidogo.
 
Unapo kuwa muongo usiwe msaalifu, angalia ulicho kiandika mara sodoma na gomola , we ulijuwaje haya kama si mshirika.halafu kumbuka hao ndiyo mabingwa wako wa mashindandano yote. Pale kwako huna mchezaji wa kuuza sisi wapo weng tu na hata huyo fei bado alijifelisha tu angefuata kanuni angeenda hata man u . Una wangapi wanao ondoka.
 
1. Wachezaji hawakuwa Mali yao bali ni wa Mkopo kutoka kwa Wakata Viuno Nation.

2. Kukopwa sana Pesa na Viongozi na Kulipwa kwa Kusumbuana mno.

3. Kilichomtokea Mwenzao Mmoja kuhusu Mkataba wake, Kunyanyasika na Kudhalilika Kumewachukiza wengi.

4. Wachezaji hawataki tena kuwa sehemu ya Kushuhusdia dhambi ya Ununuaji wa Mechi na Matokeo kama uliofanyika kwa Misimu miwili iliyopita.

5. Vitendo vya Sodoma na Gomorah vimeanza kwa baadhi yao na Wakubwa.

Hapa GENTAMYCINE naikumbuka Meseji ya Dogo Kipa Ramadhan Kabwili alipomwambia Dogo wa Azam FC 'B' kuwa asishangae sana kwani Mambo ya Sodoma na Gomorah katika Vilabu Vikubwa ni ya Kawaida.

Na GENTAMYCINE nina Taarifa za Mmoja wa Viongozi wa Nakimbiwa Sina Hela FC kutoka kwa Rafiki yake wa Utotoni wakiwa Wanaishi maeneo ya Fire jirani na Nyumba za NHC kuwa Jamaa ( Kiongozi huyo ) ni Bingwa wa Michezo hiyo isiyotakiwa na mpaka sasa anayo ndiyo maana Wanawake wengi wa Mjini wanamkwepa na anakimbilia Wanawake wa Kigeni.

6. Wachezaji wanaoondoka wameshasoma Alama za Nyakati kuwa Kocha ajae huenda akawa si Mzungumzaji Kifaransa Mwenzao Yule Mpole wa Sudan na akaja Yule Fyatu wa Uganda na wasipate namba na Wazawa ndiyo wakapata namba.

7. Timu imetumia Hela nyingi kuyapata Mafanikio waliyoyapata ila ilichoingiza ni Kiduchu hivyo Mstaafu aliyekuwa nae akitoa Pesa zake nyingi na Yule Tajiri aliyeko hadi nchini Kenya Kibiashara sasa wanataka Kujitoa na Mdhamini mkubwa aliyeko nae anataka kukaa pembeni kwani alidhani Umati uliokuwa ukijitokeza Viwanjani kwa Uwingi wao ule ule ungekuwa Unalalia katika 'Masponji' yao yaliyotapakaa kumbe Wengi wao wanalalia Mikeka tu kama siyo na Maboksi.

Cc: Dr Matola PhD, SAGAI GALGANO, Frank Wanjiru

ANGALIZO

Humpendi GENTAMYCINE na Unamchukia hadi kutamani Afe halafu Humuamini pamoja na Kumdharau mno jambo jepesi la kufanya ni Kutosoma Mada zake, Kumbloku ( Ignore ) kabisa hapa JamiiForums.

Na ukienda Kinyume na ukaendelea Kumsoma, Kumjibu na Kuchangia Mada zake unathibitisha kuwa Unampenda, Anakuvutia na Unamkubali hakuna mfano hapa JamiiForums.

Kiasi kwamba Unatamani hata awe Baba yako wa Kambo katika Familia yako au awe Mumeo, ila Kumchukia Kwako ni Kuzuga tu Watu ( Members ) hapa JamiiForums.

Hadi CAF Confederations Cup wame nunua mechi

Wewe zuzu kweli na uongo wako
 
Bangi si mzuri kuvutia chooni comrade
 
Nabi Feitoto wameshasoma alama za nyakati wanajua wazi kabisa msimu ujao utakuwa mgumu Simba tutaanza tulipoishia 😁 😁 😁
 
Back
Top Bottom