Hizi ndio sababu zinazofanya Makocha na Wachezaji wengi kuondoka Yanga

1. Wachezaji hawakuwa Mali yao bali ni wa Mkopo kutoka kwa Wakata Viuno Nation.

2. Kukopwa sana Pesa na Viongozi na Kulipwa kwa Kusumbuana mno.

3. Kilichomtokea Mwenzao Mmoja kuhusu Mkataba wake, Kunyanyasika na Kudhalilika Kumewachukiza wengi.

4. Wachezaji hawataki tena kuwa sehemu ya Kushuhusdia dhambi ya Ununuaji wa Mechi na Matokeo kama uliofanyika kwa Misimu miwili iliyopita.

5. Vitendo vya Sodoma na Gomorah vimeanza kwa baadhi yao na Wakubwa.

Hapa GENTAMYCINE naikumbuka Meseji ya Dogo Kipa Ramadhan Kabwili alipomwambia Dogo wa Azam FC 'B' kuwa asishangae sana kwani Mambo ya Sodoma na Gomorah katika Vilabu Vikubwa ni ya Kawaida.

Na GENTAMYCINE nina Taarifa za Mmoja wa Viongozi wa Nakimbiwa Sina Hela FC kutoka kwa Rafiki yake wa Utotoni wakiwa Wanaishi maeneo ya Fire jirani na Nyumba za NHC kuwa Jamaa ( Kiongozi huyo ) ni Bingwa wa Michezo hiyo isiyotakiwa na mpaka sasa anayo ndiyo maana Wanawake wengi wa Mjini wanamkwepa na anakimbilia Wanawake wa Kigeni.

6. Wachezaji wanaoondoka wameshasoma Alama za Nyakati kuwa Kocha ajae huenda akawa si Mzungumzaji Kifaransa Mwenzao Yule Mpole wa Sudan na akaja Yule Fyatu wa Uganda na wasipate namba na Wazawa ndiyo wakapata namba.

7. Timu imetumia Hela nyingi kuyapata Mafanikio waliyoyapata ila ilichoingiza ni Kiduchu hivyo Mstaafu aliyekuwa nae akitoa Pesa zake nyingi na Yule Tajiri aliyeko hadi nchini Kenya Kibiashara sasa wanataka Kujitoa na Mdhamini mkubwa aliyeko nae anataka kukaa pembeni kwani alidhani Umati uliokuwa ukijitokeza Viwanjani kwa Uwingi wao ule ule ungekuwa Unalalia katika 'Masponji' yao yaliyotapakaa kumbe Wengi wao wanalalia Mikeka tu kama siyo na Maboksi.

Cc: Dr Matola PhD, SAGAI GALGANO, Frank Wanjiru

ANGALIZO

Humpendi GENTAMYCINE na Unamchukia hadi kutamani Afe halafu Humuamini pamoja na Kumdharau mno jambo jepesi la kufanya ni Kutosoma Mada zake, Kumbloku ( Ignore ) kabisa hapa JamiiForums.

Na ukienda Kinyume na ukaendelea Kumsoma, Kumjibu na Kuchangia Mada zake unathibitisha kuwa Unampenda, Anakuvutia na Unamkubali hakuna mfano hapa JamiiForums.

Kiasi kwamba Unatamani hata awe Baba yako wa Kambo katika Familia yako au awe Mumeo, ila Kumchukia Kwako ni Kuzuga tu Watu ( Members ) hapa JamiiForums.
Nifanyeje kuwa na analytical skills kama za GENTAMYCINE
 
Unatoa Angalizo ili usikosolowe??

Umeandika utumbo tu hapo.
.
-jf2oyw.jpg
 
hadithi za hivi tulishazizoea kabisa
 
Achana na hilo angalizo lako

Lkn hayo ya juu yake dizain km kwel

We jamaa unadalil zote kuwa ni muhayya
 
Sasa kama una ID zaidi ya 20, huku ukipata sapoti ya kutosha kutoka kwa mapopoma wenzako wanaokujaza upepo kwa hizi mada zako za kipopoma! Mbona saa 2 tu asubuhi unatangazwa mshindi.
Pumbavu sasa kama kumbe unajua kuwa GENTAMYCINE nina IDs hizo 10 hapa JamiiForums kwanini usizipeleke kwa Uongozi ili Waniadhibu?

Na inakuwaje na Wewe usiye na Multiple ID wala hujawahi kuwa Nominated katika Shindano hapa na hata tu Kushinda?

Usichokijua Juha ( Fool ) Wewe ni kwamba huku Kunichukia Kwenu bila sababu ndiyo kunafanya Watu ( Members ) wanifuatilie na wapende kusoma Threads zangu 24/7 hapa JamiiForums.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
 
Nifanyeje kuwa na analytical skills kama za GENTAMYCINE
Majibu.....

1. Zaliwa na Wazazi Werevu Kiasili

2. Penda mno Kusikiliza Taarifa za Habari na sana Kutizama Habari Runingani

3. Penda zaidi Kusoma Vitabu mbalimbali.

4. Penda Kusikiliza na Kujadili Mijadala ili Kukujenga Kujiamini Kiakili

5. Kuwa Mdadisi wa Masuala Mtambuka

6. Usiwe Mpuuzi na Mswahili kama Tate Mkuu

7. Mtumainie kwa kila Kitu Mwenyezi Mungu
 
IPS...internationali Pumba Spika

ANGALIZO

Kama humpendi GENTAMYCINE na Unamchukia hadi kutamani Afe halafu Humuamini pamoja na Kumdharau mno jambo jepesi la kufanya ni Kutosoma Mada zake, Kumbloku ( Ignore ) kabisa hapa JamiiForums.

Na ukienda Kinyume na ukaendelea Kumsoma, Kumjibu na Kuchangia Mada zake unathibitisha kuwa Unampenda, Anakuvutia na Unamkubali hakuna mfano hapa JamiiForums.

Kiasi kwamba Unatamani hata awe Baba yako wa Kambo katika Familia yako au awe Mumeo, ila Kumchukia Kwako ni Kuzuga tu Watu ( Members ) hapa JamiiForums.
 
Achana na hilo angalizo lako

Lkn hayo ya juu yake dizain km kwel

We jamaa unadalil zote kuwa ni muhayya
Acha kunipangia Jambo hapa JamiiForums sawa? Huna Mamlaka hayo na kamwe hutokuja kuwa nayo.

Sijawahi Kuandika Mambo / Taarifa hapa JamiiForums halafu kwa 99.9999% isiwe ni Kweli / ya Kweli.

Mimi siyo Muhaya kama usemavyo bali ni Mzanaki, Mmakuwa, Mtutsi na Myahudi sawa?
 
Sawa dogo
 
Back
Top Bottom