Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Wanawake wanatamani sana ndoa, binti akishavunja ungo tuHuoni kwamba wanawake wazuri kukosa wa kuwaoa ni suala binafsi pia?
Mnawajua sana wanawake kuliko wao wanavyojijua. Maajabu hayaWanawake wanatamani sana ndoa, binti akishavunja ungo tu
She begins to fantasize her wedding day the way she will look stunning in her wedding gown as a bride
Sasa si tuko nao kwenye jamii na familia zetu kwa nini tusiwajueMnawajua sana wanawake kuliko wao wanavyojijua. Maajabu haya
Huwezi kumjua mwanamke ukimjua jua umekaribia kufaMnawajua sana wanawake kuliko wao wanavyojijua. Maajabu haya
😅😅Huwezi kumjua mwanamke ukimjua jua umekaribia kufa
Kila mtu ana namna yake Sina haja ya kukuelewesha we fanya venye unapata amani ya moyo wakoNa kwanini hao wife materials mnaowaoa wasiwe wanawake wa ndoto zenu kwani wanawake wa ndoto zenu wakoje
Hawa wavimbisha matako wakina Nanamucho washenzi washenzi ndoa watazisikia kwenye bomba ni mwendo wa kushikishwa bomba lililopakwa mafuta tu kwa kwenda mbeleSema ,Wanawake wenye mambo ya kuwavutia wanaume kingono , ndio wapo kwenye mtego huu, ndoa ina formula zake kwa wewe mwanamke unayetaka kuwa mke, usiingie kwaenye ndoa kwa tiketi ya sura na makalio ,maana kadiri mnavyo ishi tackle lako analizoea analiona LA kawaida lakini ukiwa submissive kwa mumeo atamvutia sana na atapenda , miishi .