Hizi ndio sababu zinazopelekea wanawake wa wazuri kukosa kuolewa na baadhi yao kujiuza

Hizi ndio sababu zinazopelekea wanawake wa wazuri kukosa kuolewa na baadhi yao kujiuza

Wanawake wanatamani sana ndoa, binti akishavunja ungo tu

She begins to fantasize her wedding day the way she will look stunning in her wedding gown as a bride
Mnawajua sana wanawake kuliko wao wanavyojijua. Maajabu haya
 
Wanawake wazuri wengi hata kabla ya ndoa Huwa tayari walishavichezea vibali vyao vya ndoa.
Thus wengi hawana ndoa.
Huwezi kuwa na ndoa kama huna kibali.
Utaishia kuwa malaya au single mama
 
Na kwanini hao wife materials mnaowaoa wasiwe wanawake wa ndoto zenu kwani wanawake wa ndoto zenu wakoje
Kila mtu ana namna yake Sina haja ya kukuelewesha we fanya venye unapata amani ya moyo wako
 
Sema ,Wanawake wenye mambo ya kuwavutia wanaume kingono , ndio wapo kwenye mtego huu, ndoa ina formula zake kwa wewe mwanamke unayetaka kuwa mke, usiingie kwaenye ndoa kwa tiketi ya sura na makalio ,maana kadiri mnavyo ishi tackle lako analizoea analiona LA kawaida lakini ukiwa submissive kwa mumeo atamvutia sana na atapenda , miishi .
 
Kuna kidada kimepanga chumba kwenye hotel moja hivi hapa mjini Daslamu chenyewe kazi yake kubwa ni kuliwa' na vibabu tu, hadi nashangaa huyu namna gani yaan hicho chumba anaingiza vibabu tu sijawahi kuona kaingia na kijana ni vibabu alafu ana tabia moja ya kumvusha ili watu wasishtukie mchezo anaita bolt kibabu kinatangulia kwenye bolt alafu anasubiri km dakika 5/10 upepo utulie alafu na kenyewe kanatoka kanaenda kuzama kwenye bolt hao wanaondoka
 
Sema ,Wanawake wenye mambo ya kuwavutia wanaume kingono , ndio wapo kwenye mtego huu, ndoa ina formula zake kwa wewe mwanamke unayetaka kuwa mke, usiingie kwaenye ndoa kwa tiketi ya sura na makalio ,maana kadiri mnavyo ishi tackle lako analizoea analiona LA kawaida lakini ukiwa submissive kwa mumeo atamvutia sana na atapenda , miishi .
Hawa wavimbisha matako wakina Nanamucho washenzi washenzi ndoa watazisikia kwenye bomba ni mwendo wa kushikishwa bomba lililopakwa mafuta tu kwa kwenda mbele
 
Back
Top Bottom