Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Hizi mbona za kawaida. Nikitegemea yatakuwa yale matoleo mapya. Hongeea kwa kununua magari mapya. But si latestHii ina akisi hali ya matumaini katika sekta ya biashara nchini Tanzania kwa sasa
[emoji23] Yale madude sijui Nani alimshauriHalafu eti bloangu Mwamedi na zile Bajaji zake zilizofungwa Injini za Machine za kusaga ndio Bilionea wetu namba moja..!!!
Hapana, zitapita kwenye barabara za njia 8 Kimara hadi Kiluvya
Ha aha a a.., ile ndio maana halisi ya Noise pollution!!![emoji23] Yale madude sijui Nani alimshauri
Kama unahitaji huo Mjadala njoo na data, ukisema swala la Viwanda bado huyo Mo hagusi, hizo Scania ni Mpya Ila unajuwa anazo Benz ngapi ambazo zipo barabarani?Kasome Profile ya METL na AZAM Google...muna babika na gari mpya 20 ambazo tukizipendelea kilamoja tukasema inthmni ya 1B sawa na Billion 20 pesa haitoshi hata kiwanda kimoja.
🤣🤣 kile kikipita kama jenereta yako inawaka basi utashangaa ipo kimya!Halafu eti bloangu Mwamedi na zile Bajaji zake zilizofungwa Injini za Machine za kusaga ndio Bilionea wetu namba moja..!!!
Mbona side mirrors zimo mkuu! Au macho yangu mabovu...
Hebu niyafikiche kwanza then narudi.
Nimefanya kazi na moja ya kampuni za mwamedi, yule jamaa nasikia amewekeza kwenye nchi za Africa zaidi ya 30. Na makampuni kama 38 hv ndani na nje ya bongo. Hizo gari za mizigo analeta kwa makundi ya 100 mia. Mfano magari 300 au 500 n.k.Insurance, mawasiliano mtu wa kati logistics na sehemu nyingine
Advantage ya hizi Scania na Mercedes ni warranty kubwa/ndefu. Tofauti na mchina.Hivi operational costs zipoje? Kama unaanua kununua mitambo kama hii kwa ajili ya usafiri ambao unaweza kutumia Howo ya mchina?
Mo anafanya kila biashara inayolipa nchi hii isipokuwa Bank na mawasiliano (sekta ambavyo mwenyewe anasema kwanini hakuwejeza mapema )Nimefanya kazi na moja ya kampuni za mwamedi, yule jamaa nasikia amewekeza kwenye nchi za Africa zaidi ya 30. Na makampuni kama 38 hv ndani na nje ya bongo. Hizo gari za mizigo analeta kwa makundi ya 100 mia. Mfano magari 300 au 500 n.k.
Ila hana Scania hata 1 ! Siri ya nyuma ya pazia ni kuwa, Bakhresa hufanya biashara ya magari pia. Ananunua jipya then akitumia miaka 10 analiuza. Kitu ambacho ni tofauti na mwamedi.
Mimi si mzoefu wa magari. Ila semi huwa nawasikia zinaenda mpaka 300M kwa kila kitu mpaka mkononi.Mkuu Scania kama hizo moja ni shilingi ngapi kabla ya ushuru. Na ushuru wake ni shilingi ngapi?
Mwamedi kazi/biashara yake kubwa inabase sana porini/vijijini.[emoji23] Yale madude sijui Nani alimshauri
Hizo Scania zina Side Mirror, ambazo hazina side mirror zinatumia camera ni Mercedes Benz Actross MP5Nilisikia hazina side mirrors, zinatumia cameras.
Ha aaaa .., Mkuu wale Wahindi waliotengeneza zile Injini nadhani ni Vijana wa Field..,🤣🤣 kile kikipita kama jenereta yako inawaka basi utashangaa ipo kimya!
Mkuu mo kwenye mawasiliano yupo na ukiondoa kuwa moja ya msambazaji vocha ilaaba hisi nyingi voda yeye ndiye akiyenunua hisa za billion 300 kutoka kwa rostam kama nitakuwa nakumbuka vizuriMo anafanya kila biashara inayolipa nchi hii isipokuwa Bank na mawasiliano ( sekta ambavyo mwenyewe anasema kwanini hakuwejeza mapema )
Hii ina akisi hali ya matumaini katika sekta ya biashara nchini Tanzania kwa sasa