Hizi ndio SI Units za kujipatia mapenzi motomoto mjini

Kwahio we unaweza kuvumilia tutafute fyucha yetu au sio [emoji23][emoji23][emoji23]? Utaweza lala kwenye kipande cha mkeka kweli au ndio unantafutia lawama mzee Gwakisa anitimue na barua ya posa tu!
Mtu ukimpenda, achilia mbali kwenye kipande cha mkeka, hapohapo kwa vumbi watu wanalala, mnatandika zenu kitenge, kiroho safi usingizi huooooo. Mradi tu nafsi imeridhia kwamba uliye nae ndiye
 
Mtu ukimpenda, achilia mbali kwenye kipande cha mkeka, hapohapo kwa vumbi watu wanalala, mnatandika zenu kitenge, kiroho safi usingizi huooooo. Mradi tu nafsi imeridhia kwamba uliye nae ndiye
Ndio maana halisi ya mapenzi ni maridhiano ya nafsi mbili zilizoamua kuwa pamoja.

Ila hio dhana imejifia sikuhizi hamna anayejali maridhiano ya nafsi wala nini...Pesa ndio msingi wa maridhiano si nafsi, pesa ya spea kwa ajili ya matumizi yasio na kikomo ikiwepo tu hapo you have a path to a womans heart. Hata uwe na kichwa kama fenesi au una mapungufu kiasi gani 😂😂😂 wewe kukosa mwanamke ni ndoto.
 
Aaah hiyo kwa wadangaji Sawa...... Binafsi najivunia wangu japo hana chochote
 
Hii nakataaa, yaani uwe na pesa halafu nikikuangalia tu naona wewe ni kivuruge!!! Siwezi kukubali
Pesa si inawafumbaga akili, hata mtu akiwa kivuruge still utaona yupo perfect 😅! Acheni kutuinjoy nyi wanawake wa jf.

Watu mnao wa filter ni wale ambao mnaona hawana kitu. Hapo ndio utatolewa kasoro na kulinganishwa mpaka ukome."Yani haupo smart kabisa kama vijana wenzio wewe"..."Raha ya mwanaume akumiliki bwana"..."Yani hujiamini mpaka unaboa bana"..."Dah yani hadi najuta kuwa na wewe mwanaume una gubu kama nini"...Haya mambo hayawezi kukuta ukiwa na upepo wa pesa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Unaona sasa umeishia kucheka sababu ukweli unaujua 😂😂😂
 
Mtu ukimpenda, achilia mbali kwenye kipande cha mkeka, hapohapo kwa vumbi watu wanalala, mnatandika zenu kitenge, kiroho safi usingizi huooooo. Mradi tu nafsi imeridhia kwamba uliye nae ndiye
siyo zama hizi
 
[emoji23] [emoji23] kwamba yu col it filter
 
Ambaye hajakuelewa akanywe K-Vant akili imkae sawa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mtu nimemganda nahisi hapumui
Aisee poleni sana ndio hivyo tupo na calculations zetu huwa hatukai kiboya [emoji1381]‍♀️
Hahahah ombea awe anakuchukulia kama mtu wa maana kwake maana unaweza kumganda mtu ila tabia zako mbovu zikakusaliti mbele yake 😂😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…