Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Mh ila hy TBCS 1 & 2 naona mara nyingi inatumika kwa certificates.
TBCS 3 & 4 inatumika kwa diploma.
TBCS 5 & 6 inatumika kwa degree.

Sasa mhh! TBCS 1 sidhan kama itakuwa 850k labla kwa TBCS 4 & 5 ndo wanaweza kuvuta hy 850k

CC joooh12
Nimetolea mfano tu mkuu.
 
Hivi polisi hawa wakiwango cha chini wanakula shilingi ngapi ? [emoji34][emoji34][emoji34]Si kwa makasiriko waliyonayo
Kama Madeleka alipondishwa cheo hicho aliaambiwa atakula 990k, hapo ni mwaka 2016. Tusema hadi sasa kwa cheo hicho huenda imepanda imefika 1.1M+

Jee wa cheo cha chini tunaweza kumkadiria ngapi?
 
Vijana mkajiajiri,msiwaze mishahara
 
Ndio hawa?? Maana niko nawaona wanagawana maposho tu hapa wahasibu wao wamebeba mabegi🙌🏿
 

Attachments

  • IMG_6763.jpeg
    891.5 KB · Views: 13
Upo sawa.
 
DAWASA wanaanza na 2.1M
 
Umesahau Ualimu😂😂
Hawa wanalipwa 760K. Mwenye degree sema posho kama zote. Huo ni mshahara kabla ya ongezeko la Samia. Pia Samia kawaongezea teaching allowance, house allowance walimu wanakula maisha jaman🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…