Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Wana viwango vidogo namjua jamaa ana masters hapo analipwa 2.2mil ana miaka zaidi ya 14 kazini .

Pia sio pazuri kwa vile ni shirika la mda sana, hawana field wala nn ,hata training unaweza kosa mwaka mzima .
Ukiona jina lake waweza jua umeula kumbe balaa tupu.
 
TOP WA SALARY
1. TCRA
2. eGA
3. CSMA
4. SSRA
5. TMA
TOP WA MADILI
1. TRA
2. TPA
3. TBS
4. CAG
5. TAKUKURU
6. TANAPA
7. MSD
HAWAVUMI LAKINI WAMO
1. WCF
2. NHIF
3. NSSF
4. PSSSF
5. ATCL
Ofisi ya wakili mkuu wa serikali kwa sasa iko vizuri sana
 
Wadau hivi Tume ya Ushindani(Fair Competition Commission) hali ikoje nataka nifanye mpango mdogo wangu aingie kule.

Nisije nikamsogeza kumbe njaa ataendelea kunisumbua.
 
Wadau hivi Tume ya Ushindani(Fair Competition Commission) hali ikoje nataka nifanye mpango mdogo wangu aingie kule.

Nisije nikamsogeza kumbe njaa ataendelea kunisumbua.
Unataka ufanye mpango gani wakt utumishi ndio wanasimamia na anatakiwa kushindanishwa na wenzake?
 
Hao TAA sio kweli kuwepo hapo
 
Halafu utakapoomba kurudi TPA inakuwa ngumu, hivyo basi wanaamua kukupeleka NECTA, TIE au RITA ukastaafie huko😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…