Lighton
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 1,424
- 2,333
Amemaanisha hivyohvyo ulivyomaanisha, Ila ukikompea ndo inakuwa hvyoKwani hawa si wanalipwa kutokana na elimu na muda kazini?! Kasoro Ngorongoro ndio anajilipa mshahara
Sasa wewe unaandika unono, unono upi unaongelea ww