Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

-Mishahara sio issue kwa sababu the more salary inavyoongezeka ndivyo PAYE inaongezeka interm of %,
-Vitu vinavyowainua watu ni sitting Allowance, responsibility allowance ambazo ni 250,000/- perday au per kikao na perdiem

Hii ni sawa kabisa, Kama kazi yako haina kusafiri hata ukilipwa 3M Utateseka tuu.
 
Ofisi ya Wakili Mkuu wa serikali, mishahara kiduchu Ila posho mara4 ya mshahara, Posho ya extra duty 1 ni zaidi mshahara wa wa afisa wa halmashauri
 
-Mishahara sio issue kwa sababu the more salary inavyoongezeka ndivyo PAYE inaongezeka interm of %,
-Vitu vinavyowainua watu ni sitting Allowance, responsibility allowance ambazo ni 250,000/- perday au per kikao na perdiem
Watu mna habari za ndani ndani sana.
 
Takukuri utoe hamna kitu hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…