Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania


Kwanini UTT-AMIS huwa inasahaulika kwenye Top 20????
 
MKUU
Naongea with experience ...aspect ya Opportunities, Namna ya Utendaji kazi UT ni nzuri zaidi ya PT
ulikuwa unapambana sana kuingia hivi Vyombo ila ukweli ni Kwamba majeshi Yana Hela ya kawaida sana UT njaa ni kali vibaya mnoo kiufupi hawanaga uhafadhali hawa ni Halmashauri wenye uniform tu
 
MKUU

ulikuwa unapambana sana kuingia hivi Vyombo ila ukweli ni Kwamba majeshi Yana Hela ya kawaida sana UT njaa ni kali vibaya mnoo kiufupi hawanaga uhafadhali hawa ni Halmashauri wenye uniform tu
Ndio ninachoongea hapo Majeshi ni kawaida sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…