Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania


Zitaje hzo campuni sio kwa utawala wa jiwe, mishahara ilishuka sana ukitegemea kampuni nyingi tz zina operate kwa kutegemea biashara tofauti na gvt.
 

Mkuu hao TPDC ni mwisho kuna mdau yupo pale mwaka mmoja tu ila loan bord kashamalizana nao mapema na mijengo ya maaana
 
Su kwelu,Kama hujui Bora ukae kimya,mashirika na taasisi Zina scale zake tofauti,halmashauri wanalipwa mishahara ya serikali kuu ambayo Ni midogo kiukweli,i'la hiyo amount ulitotaja Hapo inaeeza kuwa Ni mshahara wa mtu anayeanza kazi sehem Kama tasac au Tpdc,

Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
 
TRA 2.3M plus madili kama yote na huyo ni junior....... Acheni fix za kuomgopea TPA wana mzigo mzito hivyo
2.340M ni entry level kwa mtu mwenye Degree na overtime ya 234000 ambayo hutalipwa kama upo likizo tuuu so entry level ni kama 2.6M kwa bachelor Diploma ni 1.856M Mama Junior akiongeza May inaweza kuwa taasisi inayolipa vizuri zaidi.
 
2.340M ni entry level kwa mtu mwenye Degree na overtime ya 234000 ambayo hutalipwa kama upo likizo tuuu so entry level ni kama 2.6M kwa bachelor Diploma ni 1.856M Mama Junior akiongeza May inaweza kuwa taasisi inayolipa vizuri zaidi.
Wako vizuri
 
Tajiri mapesa nna shida na wewe
 
Na kwa sasa wanaweza kuwa na hali nzuri zaidi si unajua hali ya awamu hii.na namba 1 keshasema kodi inaweza kupungua kwa miezi 3,4,5.so watu watatumia mianya hiyo vizuri[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…