Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Jamani mwenye connection ya udereva kwenye taasisi zenu mtutupie na sisi wakuu mtaani kumebana sana wakuu. Doh, hatari sana...!

Mkuu Extrovert nilifanikiwa kupata nafasi mwaka huo 2020 Sept aisee. Sikuamini kabisa siku napigiwa simu na Chief HR, nipo serikalini kwa sasa japo ni chini ya mradi funded by WB hivyo kiasi fulani makali yamepungua mkuu.

Mtaani kubaya sana kiongozi. Acha kabisa bro...!
 
Mshahara mkubwa ndio hio 1.5m? Hebu kuwa serious kidogo basi mkuu...Toka naskia habari za hawa MD sijawahi kuona mahali imeandikwa hata wanalipwa 2M
Mkuu, sometimes Ni lazima kuachana na fantasies na kuishi kwenye uhalisia.

Hata mbunge wa Tanzania analipwa Tsh 15,000,000 tunalalamika. Je, hiyo 15M kwa mwezi Ni pesa kubwa?

Hivi unajua hiyo Tsh 15M Ni $6,000 tu!!

Mkuu wa Idara Halmashauri analipwa That 3M. Unajua hii Ni USD 1,300.

Maisha hayajawahi kulingana hata siku moja. Ukitaka uone Maisha magumu,.kuwa my wa kukosa shukurani au kuona kama dunia haikutendei haki JILINGANISHE na walio juu yako.

Mbona hujilinganishi na unaowazidi??

Kwa mishahara ya serikali kuu, MD ndio anaanza na mshahara mkubwa na hiyo Ni FACT.

Achana na stori zaashirika sijui Nani anapata Milioni 30 kwa mwezi. Hata kama wapo ni watu wangapi.wanalipwa hivyo?

Ndio maana hata wabunge wetu wakijilinganisha na Kenya wanaona wanalipwa pesa ndogo sana na wao wanadai kuongezewa mishahara.
 
Bora umemuelewesha
 
Ndugu yangu acha chai MD anaingia serikalini baada ya kusoma miaka sita plus intern kwa -mil 1.4 while officer pale TCRA anaingia kwa gross ya 4.5 gross excluding house allowances and perdiem then you are telling these lies
 
Tajiri hiyo TRA unayosema ni Ile ya bila systems now allowances zote zimewekaa kwenye salary ili zikatwe Kodi ambapo salary ikapanda mpaka 2.3m gross hivyo hapo hapati allowances nyingine yoyote pia jamani what I have learned here watu wengi wanapewa matango pori watu wengi wanajudge mshahara kwa mafanikio ya mtu na majina ya institution institution zenye salary kubwa hapa Bongo ni TCRA (Officer 2 anaanzia na 4.5m) then Kuna eGA (2.61m to 3.07m) then TCAA( Sina uhakika saana) then Kuna gaming board (from 2.5m to 3m) then TRA (2.3M)
 
Kumbe TCRA wana shavu namna hio
 
Retention mechanism
 
Tatizo linakuja huo ukoplo hadi uupate sio leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…