kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Ya uhasibu mkuu,vipi wewe?Kwenye lile tangazo la juzi umeomba nafasi gani kwenye SELF - Microfinance?
#YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya uhasibu mkuu,vipi wewe?Kwenye lile tangazo la juzi umeomba nafasi gani kwenye SELF - Microfinance?
#YNWA
Jamani mwenye connection ya udereva kwenye taasisi zenu mtutupie na sisi wakuu mtaani kumebana sana wakuu. Doh, hatari sana...!
Bongo raha ni uhuru tu ila maisha magumu kingese
Babu acha tu msoto kama msiba tu,, usikie kwa jirani ila usikupate wewe mzeeAcha kabisa kiongozi ukiona panya anakimbilia kwenye moto basi juwa kuwa huko alipotoka ni kuna moto zaidi mkuu.
Babu acha tu msoto kama msiba tu,, usikie kwa jirani ila usikupate wewe mzee
Nipo natafuta Transfer ya kuhamia SELF.Ya uhasibu mkuu,vipi wewe?
Mkuu, sometimes Ni lazima kuachana na fantasies na kuishi kwenye uhalisia.Mshahara mkubwa ndio hio 1.5m? Hebu kuwa serious kidogo basi mkuu...Toka naskia habari za hawa MD sijawahi kuona mahali imeandikwa hata wanalipwa 2M
Vipi maslahi yao,wanalipa ngapi kwa mtu mwenye degree moja?Nipo natafuta Transfer ya kuhamia SELF.
#YNWA
Sijajua.Vipi maslahi yao,wanalipa ngapi kwa mtu mwenye degree moja?
Nadhani hukunielewa vizuriMshahara mkubwa ndio hio 1.5m? Hebu kuwa serious kidogo basi mkuu...Toka naskia habari za hawa MD sijawahi kuona mahali imeandikwa hata wanalipwa 2M
Bora umemueleweshaMkuu, sometimes Ni lazima kuachana na fantasies na kuishi kwenye uhalisia.
Hata mbunge wa Tanzania analipwa Tsh 15,000,000 tunalalamika. Je, hiyo 15M kwa mwezi Ni pesa kubwa?
Hivi unajua hiyo Tsh 15M Ni $6,000 tu!!
Mkuu wa Idara Halmashauri analipwa That 3M. Unajua hii Ni USD 1,300.
Maisha hayajawahi kulingana hata siku moja. Ukitaka uone Maisha magumu,.kuwa my wa kukosa shukurani au kuona kama dunia haikutendei haki JILINGANISHE na walio juu yako.
Mbona hujilinganishi na unaowazidi??
Kwa mishahara ya serikali kuu, MD ndio anaanza na mshahara mkubwa na hiyo Ni FACT.
Achana na stori zaashirika sijui Nani anapata Milioni 30 kwa mwezi. Hata kama wapo ni watu wangapi.wanalipwa hivyo?
Ndio maana hata wabunge wetu wakijilinganisha na Kenya wanaona wanalipwa pesa ndogo sana na wao wanadai kuongezewa mishahara.
Ndugu yangu acha chai MD anaingia serikalini baada ya kusoma miaka sita plus intern kwa -mil 1.4 while officer pale TCRA anaingia kwa gross ya 4.5 gross excluding house allowances and perdiem then you are telling these liesMkuu, sometimes Ni lazima kuachana na fantasies na kuishi kwenye uhalisia.
Hata mbunge wa Tanzania analipwa Tsh 15,000,000 tunalalamika. Je, hiyo 15M kwa mwezi Ni pesa kubwa?
Hivi unajua hiyo Tsh 15M Ni $6,000 tu!!
Mkuu wa Idara Halmashauri analipwa That 3M. Unajua hii Ni USD 1,300.
Maisha hayajawahi kulingana hata siku moja. Ukitaka uone Maisha magumu,.kuwa my wa kukosa shukurani au kuona kama dunia haikutendei haki JILINGANISHE na walio juu yako.
Mbona hujilinganishi na unaowazidi??
Kwa mishahara ya serikali kuu, MD ndio anaanza na mshahara mkubwa na hiyo Ni FACT.
Achana na stori zaashirika sijui Nani anapata Milioni 30 kwa mwezi. Hata kama wapo ni watu wangapi.wanalipwa hivyo?
Ndio maana hata wabunge wetu wakijilinganisha na Kenya wanaona wanalipwa pesa ndogo sana na wao wanadai kuongezewa mishahara.
Officer anaanzia 1.4mKwenye lile tangazo la juzi umeomba nafasi gani kwenye SELF - Microfinance?
#YNWA
Tajiri hiyo TRA unayosema ni Ile ya bila systems now allowances zote zimewekaa kwenye salary ili zikatwe Kodi ambapo salary ikapanda mpaka 2.3m gross hivyo hapo hapati allowances nyingine yoyote pia jamani what I have learned here watu wengi wanapewa matango pori watu wengi wanajudge mshahara kwa mafanikio ya mtu na majina ya institution institution zenye salary kubwa hapa Bongo ni TCRA (Officer 2 anaanzia na 4.5m) then Kuna eGA (2.61m to 3.07m) then TCAA( Sina uhakika saana) then Kuna gaming board (from 2.5m to 3m) then TRA (2.3M)Ndio maanaake mzee, hapo hata jamaa yako mliekuwa mkishinda kijiweni akiajiriwa ndani ya mwaka tu utashangaa anatembelea premio T 723 ESF na kiwanja kanunua Goba ukianza mwaka mpya anaanza ujenzi ndani ya miezi 6 tu..Hujakaa sawa na mishe mishe za kuoa zinaanza😅! TRA paacheni tu kuna mengi mazuri!
Kwa hali kama hio unategemea kwanini nafasi ikitoka msiigombanie tu?
Kumbe TCRA wana shavu namna hioTajiri hiyo TRA unayosema ni Ile ya bila systems now allowances zote zimewekaa kwenye salary ili zikatwe Kodi ambapo salary ikapanda mpaka 2.3m gross hivyo hapo hapati allowances nyingine yoyote pia jamani what I have learned here watu wengi wanapewa matango pori watu wengi wanajudge mshahara kwa mafanikio ya mtu na majina ya institution institution zenye salary kubwa hapa Bongo ni TCRA (Officer 2 anaanzia na 4.5m) then Kuna eGA (2.61m to 3.07m) then TCAA( Sina uhakika saana) then Kuna gaming board (from 2.5m to 3m) then TRA (2.3M)
Retention mechanismKwa Ifficer 2 hii ndio gross salary zao in accordance with the row
1. TPDC 1.8m 2. TCRA 3.5m 4. Ngorongoro 1.8m 3. Ewura 1.8m 4. WCF 2.0m 5. TBS 1.8m 5. TANAPA 1.8m 5. Tume ya madini hawa below 1.5m 6. Mamlaka ya chakula na dawa 1.7m 7. SSRA 2m 8. NSSF/PSSSF 2m 9. BOT 1.8m 9. Bunge Hawa below 1m 9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali Hawa sijajua 10. TASAC 2m 10. TRA 2.3m 11. MSD 1.8m 11. TAKUKURU Sijajua bado 11. EGA 3.07m 12. NHIF 1.7m 13. TPA 1.6m 13. TIC Sijui bado 14. KADCO hawa below 1.5m 15. TANESCO 1.2m 16. TANROAD Sijui bado 17. TAA 1.35m
PoleUnanijibu mimi au nani?
Si kweli maneno ya wivu.Duh wanajeshi nao mishahara yao ya laki 4?
Tatizo linakuja huo ukoplo hadi uupate sio leoDuuh yaani mimi siku zote wanavyosemaga mishahara minono, huwa nadhani labda hizo taasisi zote ofisa anayeanza kazi anachezea kuanzia 2.5M-3M!
Kumbe wengi hata 2M hawafiki, kama ni hivyo basi TPDF linalipa vizuri asee maana jeshini hizo 1.8M-2M ni mishahara ya makoplo na masajenti ambao wengi wameishia la saba na form four!
Bado hujazungumzia wenye degree maofisa kuanzia maluteni, halafu kuna watu wanadharau eti jeshini hamna kitu eti pesa ziko TRA na BOT kumbe pesa zenyewe ndiyo hizo wabongo bhana!