Dah so hapo TPDC maximum ni ngapi na minimum ni ngapi na TAA je nako kukojeWakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake
1.TPDC
2. TCRA
4.Ngorongoro
3.Ewura
4. WCF
5.TBS
5.TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7.SSRA
8.NSSF/PSSSF
9.BOT
9.Bunge
9.ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10.TASAC
10. TRA
11.MSD
11.TAKUKURU
11. EGA
12.NHIF
13.TPA
13. TIC
14.KADCO
15.TANESCO
16.TANROAD
17.TAA
CMSA wanalipaje?
Acha uwongo, mshahara uliotaja hata kada za walimu wanapata. Kama jambo hulijui kaa kimya tu. Sisi tumekaa kimya humu sio kwamba hatujui chochote.Mtoa mada nikupe tu TAARIFA WATUMISHI wengi NI WATUMISHI wa kawaida wasokua na vyeo
Na mshahara wa MWISHO wa mtumishi wa serikali NI sh 2,727,500/- unless km ana cheo km mkuu wa KITENGO au idara au mkuu wa taasisi msikaririshane Mambo ambayo hayapo na nkupe tu TAARIFA huyo ambaye yupo TRA mwenye degree anaeanza Kazi Hana tofauti na mwenye degree ya maendeleo ya JAMII wa Moshi vijijini
Sent using Jamii Forums mobile app
Nigawie
Cc:makiseo ndo aliosema..mie ndo nmemuuliza hapo mkuuCMSA wanalipaje?
Mbona hazinifikiagi sasa [emoji854]
Ndio maana ni muhimu kujiajili, kuna uwezekano mishahara ikasumbua zaidiMishahara yenyewe ni kiduchu ila haitoki..dahh, another Corona
DuhUnaweza sikia mtu anasema "jana nimekula chakula kitamu sijawahi ona"
ukaja kumuuliza ulikula chakula gani, akakujibu "ugali,mlenda na chunga pembeni"
ukabaki unatoa macho tu,ila ukweli ni kwamba kila mtu ana jua n kwann chakula flani n ktamu
kila mtu ana sifa zake na vipaumbele vyake mpk kufikia kusema chakula flani ni kitamu
Mh.Tajiri Mapesa kwako wewe hizo ndio taasis zako zinazomwaga pesa (sikupingi kabisa)
maana sijui kwako Mipesa inaanzia sh.ngapi,ila ki upande wangu Hapo hujataja hata 1
ya Taasis zinazomwaga mi pesa,hii ni kwasababu tumetofautiana ktk maono ya kujua pesa inaanzia sh.ngapi.
Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake
1.TPDC
2. TCRA
4.Ngorongoro
3.Ewura
4. WCF
5.TBS
5.TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7.SSRA
8.NSSF/PSSSF
9.BOT
9.Bunge
9.ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10.TASAC
10. TRA
11.MSD
11.TAKUKURU
11. EGA
12.NHIF
13.TPA
13. TIC
14.KADCO
15.TANESCO
16.TANROAD
17.TAA
You are very right boss.Unaweza sikia mtu anasema "jana nimekula chakula kitamu sijawahi ona"
ukaja kumuuliza ulikula chakula gani, akakujibu "ugali,mlenda na chunga pembeni"
ukabaki unatoa macho tu,ila ukweli ni kwamba kila mtu ana jua n kwann chakula flani n ktamu
kila mtu ana sifa zake na vipaumbele vyake mpk kufikia kusema chakula flani ni kitamu
Mh.Tajiri Mapesa kwako wewe hizo ndio taasis zako zinazomwaga pesa (sikupingi kabisa)
maana sijui kwako Mipesa inaanzia sh.ngapi,ila ki upande wangu Hapo hujataja hata 1
ya Taasis zinazomwaga mi pesa,hii ni kwasababu tumetofautiana ktk maono ya kujua pesa inaanzia sh.ngapi.
Mkuu acha masiara .Mtoa mada nikupe tu TAARIFA WATUMISHI wengi NI WATUMISHI wa kawaida wasokua na vyeo

Kweli kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app