Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

--kwa Nini awali ulikuwa unasema Meja anamzidi Kamishna wa Forodha,? Ndiyo maana nilikwambia nimekutega kwenye mtego ukategeka tafsiri yake Ni kwamba hujui hayo Mambo kwa undani, Hadi unafikia hatua ya kujifanya uko TRA kumbe ni uongo
-Kuhusu hao matrafiki and the like nilikuwa nakuonesha kwamba Kuna watu Wana hela hawategemei mshahara
 
Mkuu unajua maana ya kujadili kitu? Wewe ulishawahi kuona wanaijadili na kuipinga bajeti inayotakiwa na jwtz au unafikiri ikikaguliwa na kupitia huko kote basi maana yake inapingwa?
--Bajeti yoyote Bungeni Lazima ijadiliwe na Wabunge wanamkemea waziri kuhusu bajeti aliyoileta Bungeni
-Wanajadili mwishowe wanakubali kuipitisha inapita, ww kwa ufahamu wako Bunge hili limewahi kugoma kupitisha Bajeti ya Wizara yoyote?
-Usishangae Bajeti ya Wizara ya Ulinzi kujadiliwa, mbona huulizi kuhusu Bajeti ya Usalama wa taifa ? Hebu niambie kwa ufahamu wako Usalama wa taifa wako Wizara gani?
 
Watu wanamshambulia ndugu Mtu Kwao kuwa anasema uongo na hatoi data za ukweli lakini bado na wao hawasemi ukweli ni upi. Hawataji exactly mshahara wa Luteni Usu, luteni kamili na vyeo vingine vya commisioned officers. Wakuu mlioko majeshini, msijiskie vibaya. Tunajua kwamba hamlipwi vizuri kivile kama ambavyo mnataka tuamini.

Sisi tuko uraiani na per diems zetu ni 150k na kila baada ya mwezi mmoja au miwili tuko Morogoro, Arusha, Mtwara, Mwanza, Nairobi, Pretoria, kwenye semina na warsha mbali mbali na technical meetings mbali mbali.

Ndio sisi vijana wadogo tunaopush Mercedes Benz E Class na Audi Q5 na 7 mnaotukutaga kule Elements, na tumesoma kozi z kifala tu tia maji tia maji.


This is a joke though🤣🤣🤣
 
Upo uko
 
Soma comments mshahara wa luteni usu umeshatajwa mkuu! Haya tuambie wewe unalipwa sh ngapi?
 
Mkuu, meneja wa tra wilaya analipwa ngapi?
 
--hapa hatuzungumzii askari Jeshi wote wa Jkt tunazungumzia specific ambao wako kwenye miradi Kama ya Ujenzi,Kilimo nk sasa nimekuuliza kwamba imeajiri watu wangapi hujui, jibu Ni kwamba hiyo miradi Ina Askari (wataalam) wachache tu waliowengi Ni wale nguvu Kazi ya JKT
 
-Maelezo marefu hoja hakuna,
- Kama ww ungekuwa unazo takwimu za TRA na huko TPDF kwa Nini awali ulisema kwamba meja wa Jeshi anamzidi Kamishna wa Forodha? Ulijibu hili ukiwa na ufahamu wa kutosha? Na ndio maana nikakwambia kwamba nilikuwa nimekuuliza swali la mtego
-Lazima tutake kuuliza kwamba uko TRA au wapi, ungekuwa kweli uko TRA na uko well-informed lile swali la kuhusu Kamishna wa Forodha vs Meja ulitakiwa useme aidha hujui au huna uhakika hapo ungeonekana mwerevu
-Kumbe Kuna masajenti wa Jeshi wanajenga magorofa Sasa mbona unakata traffic kumiliki magorofa?
-nina uhakika hauna degree na Kama unayo basi ina tatizo mahali kwa maana mtu msomi huwezi kusema bajeti ya Jeshi haijadiliwi bungeni, inaonekana hujui kazi ya bunge.
 
--mbona unajichanganya mkuu? Unasema kwamba "ambacho hakipingwi siyo bajeti ya wizara Bali bajeti ya Usalama wa taifa" hapa umejikanganya Bajeti ya Usalama wa taifa ipo ndani ya bajeti ya Ofisi ya Rais utumishi na utawala bora, hivyo basi inajadiliwa na inapitishwa bungeni Kama ya Tamisemi,
- Bajeti ya JESHI Ni Kama bajeti nyingine inajadiliwa, na Wabunge wanatishia kushika shilingi Kama wizara nyingine, Wabunge wanajadili Kama bajeti nyingine,
-ndio manaa pia hesabu za Jeshi inakaguliwa Ni kwa sababu wanapewa fedha za umma, na pia hata manunuzi yao yanakaguliwa na PPRA,
-Inajadiliwa na bunge halafu inapitishwa
 
-Kama unajua ni taarifa za Siri usijihusishe na mijadala baki nazo hizo taarifa zako za Siri,
- Sehemu chombo cha usalama chenye usiri mkubwa hapa Tanzania Ni Usalama wa taifa tu na ndio maana hesabu zake zinakaguliwa lakini hazichapishwi hadharani Kama za Police, JESHI, magereza,uhamiaji,zimamoto
 
--ww mwenyewe si umesema Mambo mengine huko jeshini ni Siri, Mimi nikakujibu kwamba Kama unaona ni Siri basi usijihusishe na mijadala humu jf
-sasa kwa Nini useme baadhi ya Mambo ya kimishahara huko jeshini ni Siri, basi usijiingize kwenye mijadala, au umetumia neno Siri Kama mbinu ya kujificha/kuogopa kujibu hoja.
 
-ninapotumia neno anaweza maana yake Kuna vitu haviko constant, mfano overtime huwa hazilingani kuna mwezi zinakuwa nyingi Kuna mwezi zinakuwa kidogo, Kingine Safari Kuna mwezi Safari zinakuwa nyingi na Kuna mwezi Safari zinakuwa chache, ndiyo maana nikatumia neno 'anaweza' maana yake Kuna variation
-sio kwamba ukataka kunionesha Meja anaweza kupata Kama Kamishna wa Forodha, ni kwamba nilikuuliza swali la mtego ukanasa, ungekuwa smart ungesema kwamba ww hujui mishahara yao au huna uhakika ili kuepuka kunasa kwenye mtego
-Salary scale ya luteni ni 1.5 M .
-Kuhusu mahesabu ya magumashi wewe ulisema haiwezi ikawa kila siku inafanana ukasema Kuna siku inaweza kupungua, Mimi nikakujibu je hakuna siku magumashi yanazidi kiwango? au hukumbuki?
-nimehoji Kama una degree kwa sababu Kama kweli una degree huwezi kusema Bajeti ya JESHI haijadiliwi bungeni
 
Mkuu elewa kiswahili bajeti ya jeshi kama jeshi HAIPINGWI hata ikaguliwe mara elfu moja ila HAIPINGWI tofauti na taasisi nyingine ambazo bajeti zao zinaweza zikapingwa na kurekebishwa! Hivi kiswahili ni kigumu sana kwako au shida nini?
- bajeti ya Jeshi Ni Kama ya Tamisemi, Wabunge wanajadili, wanairekebisha, wanaitolea maoni,
- kuhusu kupingwa wewe umewahi kuona lini bajeti ya wizara yoyote bunge limeigomea / kuipinga kuipitisha hebu itaje? Kwa maana Chombo chenye mamlaka ya kupitisha,na kujadili Bajeti Ni Bunge tu, na hata ikitokea matumizi ya JESHI yamekuwa makubwa kuliko fedha walizotengewa itabidi Waziri wa Ulinzi apeleke bungeni bajeti ya ziada, na sio kwamba JESHI litajichukulia fedha tu kiholela.
 
-ulitakiwa ujibu mbona Mambo ya JESHI ulijibu na TRA ulitakiwa ujibu vile vile kuwa Meneja wa Wilaya analipwa bei gani,
 
Mkuu wewe hadi sasa umetaja mshahara wa mtu yeyote wa TRA? Mimi hadi sasa nimeshakutajia mshahara wa luteni usu jeshini wewe unayelazimisha nikutajie mshahara wa kila rank ya jeshi umenitajia mshahara wa nani huko TRA hadi sasa?
--inaonekana husomi Post zangu huko juu, Kama uko makini Kuna mahali nimesema mtu mwenye CPA (T) akiajiriwa TRA salary scale ni 3.2 M au umesahau ? Au nikuonyeshe hiyo Post yangu?
 
Wapi nimesema jeshi linajichukulia fedha kiholela! Mkuu huna unachojua kuhusu jeshi na namna linavyooperate sikia hebu acha huu ubishani wa kitoto usio na hoja ukiwa na hoja rudi tena tutaelekezana vizuri maana naona umeanza kuzunguka sasa!
-tatizo uko disorganized kwa sababu ni rahisi kuyumbishwa mfano (Meja vs Kamishna wa Forodha) awali nakuuliza swali unatoa majibu lakini baadae unakuja kurtract, nyingine mwanzo ulisema bajeti haijadiliwi bungeni nikakufundisha ukabadili ukaanza kusema kwamba haipingwi, nikakufundisha tena kwamba Kwenye bunge letu hakuna bajeti inapingwa huwa zinapitishwa tu
-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…