Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Hizo za kijiweni
Nimepita kama ofisi tatu hapo. Sio kama mnavyojidanganya
Mishahara yao ya kawaida sana..sema jamaa wanaviposho na vi extra duties vyakutosha..na wengi wanaopiga inshu za field ndio wanatengeneza hela zaidi kuliko wanaokaa tu ofisini.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mishahara yao ya kawaida sana..sema jamaa wanaviposho na vi extra duties vyakutosha..na wengi wanaopiga inshu za field ndio wanatengeneza hela zaidi kuliko wanaokaa tu ofisini.

#MaendeleoHayanaChama
Vipi geophysicist ii wa pura na medical physicist ii wa ocean road mwenye mshahara mkubwa ni yupi hapo?
 
Jamani hivi kweli hamna mfanyakazi wa TARI au ASA humu ndani atuambie hizo PRSS 1 na ASASS 5 ni kiasi gani tujue?
 
Kwa Ifficer 2 hii ndio gross salary zao in accordance with the row
1. TPDC​
1.8m​
2. TCRA​
3.5m​
4. Ngorongoro​
1.8m​
3. Ewura​
1.8m​
4. WCF​
2.0m​
5. TBS​
1.8m​
5. TANAPA​
1.8m​
5. Tume ya madini​
hawa below 1.5m​
6. Mamlaka ya chakula na dawa​
1.7m​
7. SSRA​
2m​
8. NSSF/PSSSF​
2m​
9. BOT​
1.8m​
9. Bunge​
Hawa below 1m​
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali​
Hawa sijajua​
10. TASAC​
2m​
10. TRA​
2.3m​
11. MSD​
1.8m​
11. TAKUKURU​
Sijajua bado​
11. EGA​
3.07m​
12. NHIF​
1.7m​
13. TPA​
1.6m​
13. TIC​
Sijui bado​
14. KADCO​
hawa below 1.5m​
15. TANESCO​
1.2m​
16. TANROAD​
Sijui bado​
17. TAA​
1.35m​
haloo vipi ASA na TARI
 
Vipi geophysicist ii wa pura na medical physicist ii wa ocean road mwenye mshahara mkubwa ni yupi hapo?
Nishawahi kupita apo ocean road wana mishahara ya kawaida ila sio kama hospital za wilaya, pale ni pazur kufanyia kazi sababu pametulia, hakuna mambo mengi hata.
 
Nishawahi kupita apo ocean road wana mishahara ya kawaida ila sio kama hospital za wilaya, pale ni pazur kufanyia kazi sababu pametulia, hakuna mambo mengi hata.
sawa sawa
 
Back
Top Bottom