jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Mishahara yao ya kawaida sana..sema jamaa wanaviposho na vi extra duties vyakutosha..na wengi wanaopiga inshu za field ndio wanatengeneza hela zaidi kuliko wanaokaa tu ofisini.Hizo za kijiweni
Nimepita kama ofisi tatu hapo. Sio kama mnavyojidanganya
#MaendeleoHayanaChama