jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Mishahara yao ya kawaida sana..sema jamaa wanaviposho na vi extra duties vyakutosha..na wengi wanaopiga inshu za field ndio wanatengeneza hela zaidi kuliko wanaokaa tu ofisini.Hizo za kijiweni
Nimepita kama ofisi tatu hapo. Sio kama mnavyojidanganya
Huko ni TGS D kwa graduate
Vipi geophysicist ii wa pura na medical physicist ii wa ocean road mwenye mshahara mkubwa ni yupi hapo?Mishahara yao ya kawaida sana..sema jamaa wanaviposho na vi extra duties vyakutosha..na wengi wanaopiga inshu za field ndio wanatengeneza hela zaidi kuliko wanaokaa tu ofisini.
#MaendeleoHayanaChama
haloo vipi ASA na TARIKwa Ifficer 2 hii ndio gross salary zao in accordance with the row
1. TPDC 1.8m 2. TCRA 3.5m 4. Ngorongoro 1.8m 3. Ewura 1.8m 4. WCF 2.0m 5. TBS 1.8m 5. TANAPA 1.8m 5. Tume ya madini hawa below 1.5m 6. Mamlaka ya chakula na dawa 1.7m 7. SSRA 2m 8. NSSF/PSSSF 2m 9. BOT 1.8m 9. Bunge Hawa below 1m 9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali Hawa sijajua 10. TASAC 2m 10. TRA 2.3m 11. MSD 1.8m 11. TAKUKURU Sijajua bado 11. EGA 3.07m 12. NHIF 1.7m 13. TPA 1.6m 13. TIC Sijui bado 14. KADCO hawa below 1.5m 15. TANESCO 1.2m 16. TANROAD Sijui bado 17. TAA 1.35m
Ni kweli mkuuMaafisa wa Tanzania People's Defence Force (TPDF) Ndio wanaongoza kwa mishahara minono na posho za kufa mtuu. Amin nawaambia wazeee
hao wana mishahara Polisi ndio wenye hela nyingi, magumashi ni mengi,Ni kweli mkuu
Nishawahi kupita apo ocean road wana mishahara ya kawaida ila sio kama hospital za wilaya, pale ni pazur kufanyia kazi sababu pametulia, hakuna mambo mengi hata.Vipi geophysicist ii wa pura na medical physicist ii wa ocean road mwenye mshahara mkubwa ni yupi hapo?
Ni kweli, polisi mizunguko ni mingi.hao wana mishahara Polisi ndio wenye hela nyingi, magumashi ni mengi,
Kazi zenye hela ni Polisi, Uafisa ardhi,Tra- forodha,
sawa sawaNishawahi kupita apo ocean road wana mishahara ya kawaida ila sio kama hospital za wilaya, pale ni pazur kufanyia kazi sababu pametulia, hakuna mambo mengi hata.
We jamaa umelewa ama[emoji16]Maafisa wa Tanzania People's Defence Force (TPDF) Ndio wanaongoza kwa mishahara minono na posho za kufa mtuu. Amin nawaambia wazeee
mishahara sio mikubwa kama TCRA,eGA nkWe jamaa umelewa ama[emoji16]
2,300,000/-DAWASA vipi jamani?
Duh!! Hawa watu kumbe wana scale nzuri hivi.2,300,000/-
Pura.Vipi geophysicist ii wa pura na medical physicist ii wa ocean road mwenye mshahara mkubwa ni yupi hapo?
Poa poaPura.
#MaendeleoHayanaChama
Umeamini kabisa?Duh!! Hawa watu kumbe wana scale nzuri hivi.
Mkuu vipi TPA?