Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Wadau mbona kwenye hivi vyuo vikuu vya umma sioni mnavizungumzia kama viko na vishahara minono au huko ni normal tu japo ku a wasomi wenye GPA imara..!!
Mfano UDSM wako na hizi PUSS 2, PUSS 4 n.k
Hizo kazi za kizembe hazina hela.
 
Gaming....nasikia nao wapo vizuri
 
LATRA, NCAA na FCC Umewasahau wapi????
 
Duh!! Hawa watu kumbe wana scale nzuri hivi.

Mkuu vipi TPA?
TPA pakawaida saana
Nina degree alafu mdongo wangu wa mwenye levo four ya mechanics VETA namzidi 70K tu kwenye mshahara

TPA hakuna tofauti kubwa ya mishahara kwa watumishi wake
Operation
Security
Karan
Customer
Mafundi
Hawatofautiani saana mishahara wengi wanaanzia 1.4 bila posho
 
Wizara mambo ya nje entry level kwa mwenye degree?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…