Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Lile wimbi la ma DC, RC kugombea Ubunge 2020 uliliona mkuu?
Usichojua ni kwamba viongozi wote wa serikali na wabunge, wakuu wa wilaya na mikoa , wakuu wa idara za tamisemi na wizara wote wanachezea kwenye salary scales za LSSE isipokuwa wakuu wa mashirika labda na wale wakuu wa mihmili.
 
I wish mgejua kuwa Hela imelala kwa biashara ,Nina mkaka nliimpa line mwaka uliopita alikuwa anaslave kwa halmashauri na vichenchi visivyo na maana Leo hii ana range 2022 edition
Kuna mdada pia najuana naye ,siyo mwajiriwa Ila ukitaka services zozote serikalini atakufanyia mind you hajasoma chuo kikuu ,mwana biashara tu .
Hela wanazokunja hawa sio mchezo .
 
KItengo cha manunuzi wanaojiita PPRA kama sijakosea
 
Hii ni taasis gani
 
Muweke mnaweka na salary slip wakuu mambo ya nmesikia tuache
 

Leta ramani.
 
Migodini watu walipwa hela bana acheni utani, barrick ni nyoko πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…