Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania


Kwenye blue, nakukumbusha kuwa hata kwenye mashirika ya umma napo ni serikalini. Daktari (MD) aliyesoma miaka mitano anaefanya kazi Temeke Hospitali analipwa 1.48 M wakati Fundi Sanifu wa Dawa (Pharmaceutical Technician) aliyesoma miaka mitatu aliyepo TFDA (then) alikua analipwa 1.2M. hapo hatujui wa juu wanalipwaje. Kwa hiyo hii general statement naona haijakaa sawa.

Kwenye red, hawaangalii tu miaka mingapi uliyosoma, pia kuna cheo. Kama wewe umesoma miaka minne mimi nimesoma mitatu ila wote tuna cheo/position moja, mishahara yetu itakua sawa sawa.

Kwa hiyo tukubaliane kwamba, kuna sehemu hapo serikalini (serikali kuu/serikali za mitaa na mashirika/taasisi za umma), cheo/position, miaka uliyosoma, unyeti wa taaluma n.k zote kwa pamoja zinadetermine nani analipwa nini.

Karibu.
 
Kabisa mkuu
 
Uko sahihi.. yaan yule office attendant mwenye certificate anapokea 800k ikiwa imeshakatwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kujuzwa kinachofany mtu apande mshahara n nin??chambua kwa kutumia fani/kada husika.....Na kinachoamua waajiriwa wa awamu ya kwanza wasilingane mshahara n nin??au wapate tofauti ya mshahara Ni nin??kwa kada husika
 

Huu ni uongo mkubwa, kuna watu sio wakuu wa vitengo wala idara ila wanalipwa hela zaidi ya hiyo uliyoandika nina uhakika na hili.
 
Binafsi nimesoma nikaishia tu kushangaa
Nadhani kuna namna tunaishi kwa kukaririshwa sana.
Mleta mada hajajua kuna taasisi zinalipa vizuri hizo alizozitaja hapo zinasubiri..
Mfano mdogo ni CMSA..


Sent using Jamii Forums mobile app

Watu wanakariri sana[emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna Taasisi naijua wanalipa vizuri tu ila sijaiona hapo ikitajwa.
 
Pamoja nakukosa kwako uadilifu kwakutangaza mishahara ya watu acha nikujibu tu na mimi nikose uadilifu kama wewe.
mshahara wa kuanzia TRA kwa bachelor holder kwasasa ni zaidi ya milioni 2.3 bado alowance nyingine na ndio maana wameacha wizi..
Wameacha wizi upi huo unaosema? Halafu hii 2.3 unayotaja ni TRA officer gani huyo kwa hiyo ngazi ya degree? Kuna TRA wanaanzia kazi makao makuu na wengine wanapelekwa huko wilayani sasa hiyo 2.3 unayosema kisa degree sio kweli kachunguze tena utarudisha jibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mimi sijataka kubishana nae sababu kubishana na mbishi ni kujiumiza kichwa..

Tra degree holder wana entrance position ambazo mojawapo ni assistant custom officer, assistant tax officer, etc... hizo nafasi mshahara wake haufiki hata milioni moja gross
 
Tiss je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…