Tajiri Mapesa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2020
- 707
- 728
- Thread starter
- #21
Hahahaaaaaaaa, mkuu mambo ya salarilo ni muhimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaaaaaa, mkuu mambo ya salarilo ni muhimu
Why uliacha?Mkuu
Mkuu mimi Niko sensitive sana na mshahara, kazi yangu ya kwanza nilikua nalipwa laki nane na nusu take home, huku nimepewa nyumba, gharama za umeme plus maji lakini nilifanya kazi mwaka mmoja tu nikaandika barua ya kuacha kazi nikaomba kazi mahali pengine
Mkui hivi hawa wa procure ama customer service kwa ngazi ya diploma ama degree mshahara unarange ngapi hadi ngapi?Yaani naona kaandika taasisi za umma kasoro moja tu.
Dawasa(water and irrigation)
Mshahara ulikua hautoshi kabisa,
inategemea kwako unamaanisha mshahara mkubwa ni sh ngapi. kwa mimi hapo sioni hata taasisi moja inayolipa mshahara mkubwa.Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake
1.TPDC
2. TCRA
4.Ngorongoro
3.Ewura
4. WCF
5.TBS
5.TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7.SSRA
8.NSSF/PSSSF
9.BOT
9.Bunge
9.ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10.TASAC
10. TRA
11.MSD
11.TAKUKURU
11. EGA
12.NHIF
13.TPA
13. TIC
14.KADCO
15.TANESCO
16.TANROAD
17.TAA
Mwache akaririBinafsi nimesoma nikaishia tu kushangaa
Nadhani kuna namna tunaishi kwa kukaririshwa sana.
Mleta mada hajajua kuna taasisi zinalipa vizuri hizo alizozitaja hapo zinasubiri..
Mfano mdogo ni CMSA..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada nikupe tu TAARIFA WATUMISHI wengi NI WATUMISHI wa kawaida wasokua na vyeoWakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake
1.TPDC
2. TCRA
4.Ngorongoro
3.Ewura
4. WCF
5.TBS
5.TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7.SSRA
8.NSSF/PSSSF
9.BOT
9.Bunge
9.ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10.TASAC
10. TRA
11.MSD
11.TAKUKURU
11. EGA
12.NHIF
13.TPA
13. TIC
14.KADCO
15.TANESCO
16.TANROAD
17.TAA
Kwa hiyo wewe uko taasisi gani kati ya hizo?. Unalipwa kiasi gani?Hahahaaaaaaaa, mkuu mambo ya salarilo ni muhimu
Lete ile pale ya JKT kigoma. Malizia,uliishia ulipomuona askari mrembo anafanana na Sophia. Au ulikuwa unacopy mahala?. Halafu mwenyewe ameichana chana?Acha kujipa moyo binti kiziwi, ujue kuna taasisi zinazalisha pesa tena bila kutumia mtaji mfano kama TPA, EWURA, TBS n.k kwanini zisiwamwagie mishahara minono watu wake.
Makato ooh makato. Wachana na kitu inaitwa deductionKuna mmoja namjua analipwa 15M lakini maisha yake ya ajabu, anakugongea elfu 50 hadi uñajiukiza huyu MTU analipwa hiyo hela kwel
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba unieleweshe hapa.kasoro ngorongoro ndo anajilipa mshahara
NigawieSisi wa private tunaokula mara3 ya hao wacha tunyamaze
Sent from my iPhone using JamiiForums
mimi ninacheti cha la saba nitajuaje mambo ya diploma/degree.Mkui hivi hawa wa procure ama customer service kwa ngazi ya diploma ama degree mshahara unarange ngapi hadi ngapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu cmsa wakoje malipo yao..ndo naiskia aiseeBinafsi nimesoma nikaishia tu kushangaa
Nadhani kuna namna tunaishi kwa kukaririshwa sana.
Mleta mada hajajua kuna taasisi zinalipa vizuri hizo alizozitaja hapo zinasubiri..
Mfano mdogo ni CMSA..
Sent using Jamii Forums mobile app