Teh naona hujiamini na conclusions zako umeamua kutafuta msaada kwa wengine! Kwa akili yako unafikiri kwa hoja zile hata kama ndiyo mtu angekuwa hajui chochote anategemea kuanzia kujifunza kutoka kwako angetoka na kitu kweli wakati picha linaanza hata full forms za hayo maneno tu hujazitaja kwamba IFRS ni International Financial Reporting Standards, IAS ni International Accounting Standards, IPSAS ni International Public Sector Accounting Standards halafu ndiyo unataka kudai kwamba umenifundisha mimi uhasibu? Wewe?! Hapa?!