Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

We jamaa Mshamba kweli; Milioni 21 kwa mwezi kwako ni hela ? Unajua kazi ninazofanya?

Mkurugenzi wa MSD Aliyetumbuliwa anapokea 20 M kwa mwezi ; Mbona mishahara ya 20 M ni kawaida hata bongo!

Unajua Range za mishahara ya WHO?

Punguzeni ushamba basi kwa yale msiyoyajua. Unaweza kusikia nalipwa Dola hizo lakini do you know work permit nalipia kiasi gani kila mwaka ?

Yaani katika East Africa Tz ndio taifa Lina watu washamba na wasiokuwa na exposure ya maisha.


Mk54

Sasa mkuu nakuomba pm
 
Ni sahihi kabisa. Nimefanya kazi taasisi ya Serikali, Mshahara wangu wa kwanza ulikuwa 1.5K. Take home ilikuwa laki 9. Miaka 3 baadae nikaenda kwenye NGO, nikawa nalipwa 3.8Mil kwa mwezi na safari kila wakati.

Baada ya miaka 3 wazungu hao hao wakatoa Post kwa wanaotaka kufanya kazi nchi za nje. Tukafanya interview tukapita wachache sana mwishowe tukabaki 3 tu.

Wakatupa shavu kufanya internship Uholanzi mwaka mmoja, baada ya hapo tukapelekwa kwenye vituo vya kazi, mimi nikapangiwa Nambia. Salary yangu niliyoanza nayo ilikuwa ni USD 9, 400 plus house and transport allowance.

Je kuna Afisa anayelipwa hivo serikalini ?

Wakurugenzi (DG)wa taasisi tajwa wengi wanacheza kati ya 15M hadi 20 M plus risk ya kutumbuliwa muda wowote kama Nehemia.

Wenzangu niliowaacha Serikali I am sure mpaka leo bado hawajafika salary ya 4M, tena sidhani kabisa maana sijasikia kupanda kwa madaraja wala salary.

Kibaya zaidi taasisi zote kwa sasa wanatakiwa kufuata sheria za Utumishi wa Umma Kwenye kupandisha salary na madaraja.

Tofauti na mwanzo; taasisi kama MSD, NHIF, TPA zilikuwa zinaajiri wenyewe na wanaviwango vyao vya mishahara na madaraja na ndio maana ukienda hizo taasisi unakuta Mkurugenzi, Manager, Afisa Wote wana Masters yaaani wapo sawa; tofauti yao ni aliyekaa muda mwingi ofisini na mwenye performance nzur.

Yaani hupaswi kuwa jeuri maana inawezekana leo nina report kwako but in few years Wewe uta report kwangu na utakuwa chini yangu.

Hakuna watu wana njaa kama watumishi wa umma; na ndio maana wakurugenzi wa hizo taasisi wanaishi kwa ku deal fake na rushwa. Unashangaa Yaani unakamatwa na Takukuru; ili akuachie Wanakuomba Rushwa lol [emoji23] .




Mk54

Nakuomba pm
 
Mkuu hauna line za kwenye NGO yoyote nikajikite huko mkuu?!

I usually dreamt of working on NGO Projects toka sijamaliza chuo but so far nilifanikiwa kufanya na JHPIEGO na GLOBALBIKE so far baada ya ndugu yangu kusepa nchini kwenda ng'ambo nikawa nimepoteza connection.

Mkuuu na mimi nipe line ya JHPIEGO tafadhali
 
Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake

1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7. SSRA
8. NSSF/PSSSF
9. BOT
9. Bunge
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10. TASAC
10. TRA
11. MSD
11. TAKUKURU
11. EGA
12. NHIF
13. TPA
13. TIC
14. KADCO
15. TANESCO
16. TANROAD
17. TAA
Na baadhi ya hizo wafanyakazi wake ni wala rushwa balaa
 
Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake

1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7. SSRA
8. NSSF/PSSSF
9. BOT
9. Bunge
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10. TASAC
10. TRA
11. MSD
11. TAKUKURU
11. EGA
12. NHIF
13. TPA
13. TIC
14. KADCO
15. TANESCO
16. TANROAD
17. TAA

Hizo za kijiweni
Nimepita kama ofisi tatu hapo. Sio kama mnavyojidanganya
 
Mkuu vipi kuhusu hizi taasisi maana Nina washikaji zao wanasema huko si haba..

TARI.
ASA.
 
Maafisa wa Tanzania People's Defence Force (TPDF) Ndio wanaongoza kwa mishahara minono na posho za kufa mtuu. Amin nawaambia wazeee
 
Back
Top Bottom