mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Tangu Halmashauri walazimishwe kutoa risiti za EFD kwa makusanyo yao yote, hakuna tena pesa inayozagaa halmashauri. Sana sana wanaamua kuwaonea waajiriwa wapya kutokuwalipa stahiki zao kwa ukamilifu ili wabakize za kujilipa kwa vigezo vya kutengeneza kama safari nk. Mwajiriwa mpya utaambiwa onesha tiketi ili urudishiwe nauli kama ukijikuta umeipoteza hiyo pesa wanaibakiza. Hata logic ya kawaida tu kama mtu ametoka mwanza na sasa ameripoti Tanga ni kwamba lazima alisafiri hata kama kapoteza risiti. Kuna orodha ya nauli iliyotolewa na SUMATRA kila mwajiri anayo!! Ni unyang'anyi tu unaweza kutumika kumnyima mtu nauli kwa kisingizio cha kupoteza tiketi yake!Inategemea ni kitengo Gani , kumbuka halmashauri ni TRA ndogo,
Haki nawaambia halmashauri Kuna pesa nyingi sana Zina zagaa