Mgogo Vitani
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 492
- 867
Kvp mkuu kutoka ni ngumu
Uhakika wa kubwia asali ya nyuki wadogo huwezi kuukimbia haswa kwa Engineers
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kvp mkuu kutoka ni ngumu
Posho ya TPDC Ni 250,000/nightWakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake
1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7. SSRA
8. NSSF/PSSSF
9. BOT
9. Bunge
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10. TASAC
10. TRA
11. MSD
11. TAKUKURU
11. EGA
12. NHIF
13. TPA
13. TIC
14. KADCO
15. TANESCO
16. TANROAD
17. TAA
DaaahPosho ya TPDC Ni 250,000/night
Ni kwa engineer wa kawaida au kwa wale ma senior??Posho ya TPDC Ni 250,000/night
Engineer daraja la ii ni Posho ni 150,000Posho ya TPDC Ni 250,000/night
Mshahara wa Engineer II wa TPDC je?Engineer daraja la ii ni Posho ni 150,000
Nahisi ni mkubwa kuliko TRAMshahara wa Engineer II wa TPDC je?
Kuna jamaa yangu wa karibu, aliingia kule MWAUWASA early 2000.Huku ukiingia na uhakika wa ajira permanent kutoka ni ngumu sana.
Kuna jamaa yangu wa karibu, aliingia kule MWAUWASA early 2000.
Kufikia 2002 alikuwa Don na mwaka huo akaoa, harusi ilikuwa ya kidon kabisa ingawa alipata support huko kazini kwake.
Bado yupo huko hadi sasa, kashapiga hatua ndefu sana.
Kumbuka huyo aliingia kwa sifa ya Diploma...
Anaelba 3m TRA Yuko managerial position au ni senior.Acha kutukana mzee milioni tatu wazijua wewe? Ni TRA ipi hiyo ni ya hapa hapa bongo?[emoji28]
Kaka huyo anayelipwa hiyo ana cheo gani aisee 800,000 posho ya nyumba , hamnaga hiyo labda private sector..Kuna mashirika ya umma
Salary scale ni 2.6m
Posho ya Nyumba 800,000/-
Extraduty 900,000/-
Transport 450,000/-
na mshahara wa mwenye diploma ya engineer je hapo tpdc kias ganiEngineer daraja la ii ni Posho ni 150,000
ni mkubwa sanana mshahara wa mwenye diploma ya engineer je hapo tpdc kias gani
Hiyo extraduty ya 1.8m itakuwa ni Uongo,Tpdc degree 1.5M , diploma 1.1M hiyo kabla ya makato.
Ila kule kinacho wabeba ni perdiem nyingi ni nadra sana kukaa ofisini.
Kwenye maokoto ni kwenye mamlaka kama:-
1.TCRA( Perdiem nyingi na kusafiri sana)
2.EWURA( perdiem zake kubwa pamoja na mshahara mkubwa)
3.LATRA( mshahara mkubwa)
4.USCAS( hapa usipimie mpunga mrefu sana)
5.MAMLAKA ZA MAJI ZA MAJIJI KAMA DAWASA, AUWSA, MWAUWASA, DUWASA
6.TRA( mishe nyingi za kupata hela ukiwa mtoto wa mjini)
7. TANROADS( makusanyo makubwa so perdiem nyingi)
8. TARURA( haina tofauti sana na tanroads)
9. NHIF( extra duty yao 900k pamoja na mshahara mkubwa ila hawana safari sana kwa nature ya kazi zao).
10. Hazina mshahara wao ni TGS.. Ila usipime maokoto yao extra duty yao tu 1.8M
Sirias mkuu ukweli na uhakikaHiyo extraduty ya 1.8m itakuwa ni Uongo,
Mkuu hiyo namba 4. USCAS ndio taasisi gani hiyoTpdc degree 1.5M , diploma 1.1M hiyo kabla ya makato.
Ila kule kinacho wabeba ni perdiem nyingi ni nadra sana kukaa ofisini.
Kwenye maokoto ni kwenye mamlaka kama:-
1.TCRA( Perdiem nyingi na kusafiri sana)
2.EWURA( perdiem zake kubwa pamoja na mshahara mkubwa)
3.LATRA( mshahara mkubwa)
4.USCAS( hapa usipimie mpunga mrefu sana)
5.MAMLAKA ZA MAJI ZA MAJIJI KAMA DAWASA, AUWSA, MWAUWASA, DUWASA
6.TRA( mishe nyingi za kupata hela ukiwa mtoto wa mjini)
7. TANROADS( makusanyo makubwa so perdiem nyingi)
8. TARURA( haina tofauti sana na tanroads)
9. NHIF( extra duty yao 900k pamoja na mshahara mkubwa ila hawana safari sana kwa nature ya kazi zao).
10. Hazina mshahara wao ni TGS.. Ila usipime maokoto yao extra duty yao tu 1.8M
Taasisi gani?Sirias mkuu ukweli na uhakika