BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
Ni UCSAF yaani Mfuko wa mawasiliano kwa woteMkuu hiyo namba 4. USCAS ndio taasisi gani hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni UCSAF yaani Mfuko wa mawasiliano kwa woteMkuu hiyo namba 4. USCAS ndio taasisi gani hiyo
Yah ni hiyoNi UCSAF yaani Mfuko wa mawasiliano kwa wote
HazinaTaasisi gani?
Acha uongoHazina
Ni extra duty sijasema mshahara kauulize kam unaona uongo.Acha uongo
Tpdc degree 1.5M , diploma 1.1M hiyo kabla ya makato.
Ila kule kinacho wabeba ni perdiem nyingi ni nadra sana kukaa ofisini.
Kwenye maokoto ni kwenye mamlaka kama:-
1.TCRA( Perdiem nyingi na kusafiri sana)
2.EWURA( perdiem zake kubwa pamoja na mshahara mkubwa)
3.LATRA( mshahara mkubwa)
4.UCSAF( hapa usipimie mpunga mrefu sana)
5.MAMLAKA ZA MAJI ZA MAJIJI KAMA DAWASA, AUWSA, MWAUWASA, DUWASA
6.TRA( mishe nyingi za kupata hela ukiwa mtoto wa mjini)
7. TANROADS( makusanyo makubwa so perdiem nyingi)
8. TARURA( haina tofauti sana na tanroads)
9. NHIF( extra duty yao 900k pamoja na mshahara mkubwa ila hawana safari sana kwa nature ya kazi zao).
10. Hazina mshahara wao ni TGS.. Ila usipime maokoto yao extra duty yao tu 1.8M
Extra duty haitakiwi kuzidi mshaharaNi extra duty sijasema mshahara kauulize kam unaona uongo.
Madini na ardhiNa wizarani huko ni wizara gani ipo vizuri
Si kweli Perdiem tu inazidi mshahara inategemea na siku ulizo safiriExtra duty haitakiwi kuzidi mshahara
Usichanganye per diem na extradutySi kweli Perdiem tu inazidi mshahara inategemea na siku ulizo safiri
Shirika labda likianza kujitegemea wenyewe totally ndio mambo yatakuwa mazuri,, wapokunja mpunga mrefu ni PURA ikiongozwa na EWURA.wanasemaga TPDC wanakunja mpunga mrefu kumbe kawaida tu
Ebu funguka mkuuwanasemaga TPDC wanakunja mpunga mrefu kumbe kawaida tu
TANAPA mambo yamebadilika siku hizi.11. NGORONGORO
12. TANAPA(Pamoja na nduguze wanaodili na maliasili)
13. STAMICO je....?
14. TANESCO (wazee wa kutulaza gizani kama mende)
15. TAA je...?
16.
kumbe kuna mashirika unayuchukulia poa ila yako vizuri hivi, PURA nilikuwa najuaga wapo kawaida kumbe wanampungaShirika labda likianza kujitegemea wenyewe totally ndio mambo yatakuwa mazuri,, wapokunja mpunga mrefu ni PURA ikiongozwa na EWURA.
PURA ni Authority.kumbe kuna mashirika unayuchukulia poa ila yako vizuri hivi, PURA nilikuwa najuaga wapo kawaida kumbe wanampunga
Anhaaa hapo nimekupata kaka.PURA ni Authority.
Mashirika ni TPDC,TRC, TANESCO,SIDO n.k
Miaka ya nyuma hiuo 2014 ,enzi hizo TPA wanajilipa mpaka 500k kwa kikao na per diem.