Macrochogo
Senior Member
- Dec 5, 2023
- 128
- 101
Ni pazuri kulinganisha na polisi.Hao hao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni pazuri kulinganisha na polisi.Hao hao
Sasa fikiria hapo kuna per diem ya 150k per day plus na wingi wa hizo safari ndio balaaa.Ni kweli nina mshikaji wangu amepata hizi ajira mpya si haba mzee.
Anamiezi 3.
Ila safafi ya kwanza ilikuwa ya wiki 3.
Safari ya pili wiki 2
Safari ya 3 wiki 2
Unaweza ona jinsi gani kulivyo na safari.
Jina gani tena hela chief?Dah kila nikionaga hili jina roho inaniuma
JW mshahara wa 864,000 ni mshahara wa private(Shati tupu,Hii ndio lower rank katika jeshi).Vipi kuhusu upande wa pili kule
Tukisema mshahara mkubwa au mdogo.Vijana wanaongopeana tu hapa. Dunia inabadilika kwa kasi, achaneni na mawazo haya. Hakuna mshahara mkubwa wala mdogo. Mkitaoa hela nyingi ziko nje ya ajira.
Duh pazuriJW mshahara wa 864,000 ni mshahara wa private(Shati tupu,Hii ndio lower rank katika jeshi).
Cheti cha Bachelor ni 600k.
Baada ya level 3 kuna posho ya 100,00 ya Barret.
Ration 300,000 ila commando ni 600,000,,vinywaji 150,000..
Posho ya pango inategemea na rank yako..ila wengi wao (Private -Staff sergeant) ni 80,000-120,000.
Ukiwa Afisa ni mwiko kupanda usafiri wa umma kama daladala hivyo maafisa baada ya kozi ya kadeti wanapewa mshahara wenye masharti nafuu.
Jeshi kila kozi unapigwa ni posho iwe artillery, ukufunzi,marine au armour.
Kuna ishu za peace keeping,ukipata hizi kama ulikua na kauwanja kako chanika,mvuti au vikindu ukirudi unajenga chapu...yaani ndani ya mwezi tu .tena nyumba kali..
Sema jeshi kugangamala mzee..kuna oda za hapa na pale..kama ukiwa mtu wa ku temper ovyo unaweza ukaona kazi ngumu.
Stori za kijiweniJW mshahara wa 864,000 ni mshahara wa private(Shati tupu,Hii ndio lower rank katika jeshi).
Cheti cha Bachelor ni 600k.
Baada ya level 3 kuna posho ya 100,00 ya Barret.
Ration 300,000 ila commando ni 600,000,,vinywaji 150,000..
Posho ya pango inategemea na rank yako..ila wengi wao (Private -Staff sergeant) ni 80,000-120,000.
Ukiwa Afisa ni mwiko kupanda usafiri wa umma kama daladala hivyo maafisa baada ya kozi ya kadeti wanapewa mshahara wenye masharti nafuu.
Jeshi kila kozi unapigwa ni posho iwe artillery, ukufunzi,marine au armour.
Kuna ishu za peace keeping,ukipata hizi kama ulikua na kauwanja kako chanika,mvuti au vikindu ukirudi unajenga chapu...yaani ndani ya mwezi tu .tena nyumba kali..
Sema jeshi kugangamala mzee..kuna oda za hapa na pale..kama ukiwa mtu wa ku temper ovyo unaweza ukaona kazi ngumu.
Kwamba ndogo auStori za kijiweni
Naelewa nachozungumza mkuu.Stori za kijiweni
Tatizo lao wanawake na pombe tu na wengi wao wameungua (Ukimwi, kisukari na presha)Duh pazuri
Private ana maisha kuliko mtu mwenye degree alie kwenye utumishi wa kiraiaTatizo lao wanawake na pombe tu na wengi wao wameungua (Ukimwi, kisukari na presha)
Ni kweli boss hatari sana hao mabwana.Sasa fikiria hapo kuna per diem ya 150k per day plus na wingi wa hizo safari ndio balaaa.
Aisee hao ni noma, wapo kama DCEA au wamezidi?JW mshahara wa 864,000 ni mshahara wa private(Shati tupu,Hii ndio lower rank katika jeshi).
Cheti cha Bachelor ni 600k.
Baada ya level 3 kuna posho ya 100,00 ya Barret.
Ration 300,000 ila commando ni 600,000,,vinywaji 150,000..
Posho ya pango inategemea na rank yako..ila wengi wao (Private -Staff sergeant) ni 80,000-120,000.
Ukiwa Afisa ni mwiko kupanda usafiri wa umma kama daladala hivyo maafisa baada ya kozi ya kadeti wanapewa mshahara wenye masharti nafuu.
Jeshi kila kozi unapigwa ni posho iwe artillery, ukufunzi,marine au armour.
Kuna ishu za peace keeping,ukipata hizi kama ulikua na kauwanja kako chanika,mvuti au vikindu ukirudi unajenga chapu...yaani ndani ya mwezi tu .tena nyumba kali..
Sema jeshi kugangamala mzee..kuna oda za hapa na pale..kama ukiwa mtu wa ku temper ovyo unaweza ukaona kazi ngumu.
Hapo safari kibao, mfano tasks zao kwa mwaka mpya wa fedha unaoanza August ni nyomi ...Hizo walizopiga ni kumalizia nusu mwaka .Ni kweli nina mshikaji wangu amepata hizi ajira mpya si haba mzee.
Anamiezi 3.
Ila safafi ya kwanza ilikuwa ya wiki 3.
Safari ya pili wiki 2
Safari ya 3 wiki 2
Unaweza ona jinsi gani kulivyo na safari.
JW kawaida tu wenye pesa ni TRANaelewa nachozungumza mkuu.
Niongope kwa faida ya nani.?
Jamaa wapo vizuri sana.
Tra wao wanalipwa sh ngapi?JW kawaida tu wenye pesa ni TRA
Yes nakuelewa kakaSina nia ya kwenda huko, hata hivyo taaluma yangu lazima inilimit kuingia kule.
Nimeuliza baada ya kuona jamaa fulani yupo kule NIC anang'aa sana(ingawa hii haiwezi kuwa indicator ya moja kwa moja)
Tiaraei nilipakosa kosa kidogoJina gani tena hela chief?
Wanajilipa sababu wao ndo wazalishaji wakuu wa nchiTra wao wanalipwa sh ngapi?