Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Vijana wanaongopeana tu hapa. Dunia inabadilika kwa kasi, achaneni na mawazo haya. Hakuna mshahara mkubwa wala mdogo. Mkitaka hela nyingi ziko nje ya ajira.
 
Ni kweli nina mshikaji wangu amepata hizi ajira mpya si haba mzee.
Anamiezi 3.

Ila safafi ya kwanza ilikuwa ya wiki 3.
Safari ya pili wiki 2
Safari ya 3 wiki 2
Unaweza ona jinsi gani kulivyo na safari.
Sasa fikiria hapo kuna per diem ya 150k per day plus na wingi wa hizo safari ndio balaaa.
 
Vipi kuhusu upande wa pili kule
JW mshahara wa 864,000 ni mshahara wa private(Shati tupu,Hii ndio lower rank katika jeshi).

Cheti cha Bachelor ni 600k.

Baada ya level 3 kuna posho ya 100,00 ya Barret.

Ration 300,000 ila commando ni 600,000,,vinywaji 150,000..

Posho ya pango inategemea na rank yako..ila wengi wao (Private -Staff sergeant) ni 80,000-120,000.

Ukiwa Afisa ni mwiko kupanda usafiri wa umma kama daladala hivyo maafisa baada ya kozi ya kadeti wanapewa mshahara wenye masharti nafuu.

Jeshi kila kozi unapigwa ni posho iwe artillery, ukufunzi,marine au armour.

Kuna ishu za peace keeping,ukipata hizi kama ulikua na kauwanja kako chanika,mvuti au vikindu ukirudi unajenga chapu...yaani ndani ya mwezi tu .tena nyumba kali..

Sema jeshi kugangamala mzee..kuna oda za hapa na pale..kama ukiwa mtu wa ku temper ovyo unaweza ukaona kazi ngumu.
 
Vijana wanaongopeana tu hapa. Dunia inabadilika kwa kasi, achaneni na mawazo haya. Hakuna mshahara mkubwa wala mdogo. Mkitaoa hela nyingi ziko nje ya ajira.
Tukisema mshahara mkubwa au mdogo.

Basi jua tunazilinganisha baadhi ya taasisi kwa taasisi.

Na kama biashara ni simple kiasi usemacho basi kungekua hamna maskini duniani..

Ukweli biashara ni ngumu mkuu.
 
JW mshahara wa 864,000 ni mshahara wa private(Shati tupu,Hii ndio lower rank katika jeshi).

Cheti cha Bachelor ni 600k.

Baada ya level 3 kuna posho ya 100,00 ya Barret.

Ration 300,000 ila commando ni 600,000,,vinywaji 150,000..

Posho ya pango inategemea na rank yako..ila wengi wao (Private -Staff sergeant) ni 80,000-120,000.

Ukiwa Afisa ni mwiko kupanda usafiri wa umma kama daladala hivyo maafisa baada ya kozi ya kadeti wanapewa mshahara wenye masharti nafuu.

Jeshi kila kozi unapigwa ni posho iwe artillery, ukufunzi,marine au armour.

Kuna ishu za peace keeping,ukipata hizi kama ulikua na kauwanja kako chanika,mvuti au vikindu ukirudi unajenga chapu...yaani ndani ya mwezi tu .tena nyumba kali..

Sema jeshi kugangamala mzee..kuna oda za hapa na pale..kama ukiwa mtu wa ku temper ovyo unaweza ukaona kazi ngumu.
Duh pazuri
 
Stori za kijiweni
 
Aisee hao ni noma, wapo kama DCEA au wamezidi?

Nani yupo juu kimaslahi?
 
Ni kweli nina mshikaji wangu amepata hizi ajira mpya si haba mzee.
Anamiezi 3.

Ila safafi ya kwanza ilikuwa ya wiki 3.
Safari ya pili wiki 2
Safari ya 3 wiki 2
Unaweza ona jinsi gani kulivyo na safari.
Hapo safari kibao, mfano tasks zao kwa mwaka mpya wa fedha unaoanza August ni nyomi ...Hizo walizopiga ni kumalizia nusu mwaka .

TRA viongozi wa juu ni smart sana ,wanajua kubuni tasks nzuri ndio maana watu wanalalamika eti wezi ,wakati wanapata posho zao kihalali kabisa .

Kwanza wanaspend pesa nzuri ,nilikaa na jamaa yupo Tunduma ila anakuja HQ anarudi kituo mwezi huu mwezi ujao yupo town kweny ishu za kiofisi hata kujenga anajenga Dar ..

Taasisi ikipata viongozi smart wanaoandaa mpango kazi mzuri ,basi mtaishi vizuri ila hawa waoga wanaohofia kuomba pesa Serikalini kwa sababu vyeti vyao vina mushkeri😅😅mtalia.
 
Sina nia ya kwenda huko, hata hivyo taaluma yangu lazima inilimit kuingia kule.

Nimeuliza baada ya kuona jamaa fulani yupo kule NIC anang'aa sana(ingawa hii haiwezi kuwa indicator ya moja kwa moja)
Yes nakuelewa kaka
 
Back
Top Bottom