Pre GE2025 Hizi ndio taasisi zilizoanzishwa na Hayati Benjamin Mkapa. Umejifunza nini?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kweli unachekesha. Wale Wahindi wa Reli aliwaleta Mkapa? Mbona ABSA, na MICRO zinaenda vizuri? ESCROW/IPTL, TANESCO -Richmond alileta Mkapa?
 
Kwamba watu walikuwa hawalipi kodi kabla ya mkapa? Alianzishaje wakati kodi ya mapato ilikuwa inalipwa tangu enzi za Mjerumani?
Walio kuwa Wanakusanya Kodi kipindi hicho ni wizara ya fedha
 
Amezifanya (TRA)kuwa.....
 
Mkapa hakuanzisha yeye jwa matakwa yake.

Bali ilikuwa mwingozo wa taasisi za kimataifa hasa word bank kwa nchi zote za africa ianzishe hayo mashirika kwenye nchi zao. . Ni kama corona vaccine vile zilivyochomwa kwa muda mmoja nchi zote za africa baada ya kuambiwa tuchome. Hivyo huwezi sema mama samia alianzisha taasisi ya corona vaccine kwa akili zake

Wakati Tanzania inaanzishwa TRA ndio muda huo huo kenya ilianzisha KRA, uganda ilianzisha URA, zambia ilianzisha ZRA
 
Ahaaahaaaaa! Kweli mambo yanakwenda mrama siku hizi lazima tufanye kitu!
 
ccm ni uozo mtupu... Ila huyu bi chura kiziwi ni hopeless
 
Uwe na adabu na heshima
 
Umeisahau ile ya wakina steve nyerere...
Pamoja na kadansee ya mama 😄

Ova
 
Mkapa aliamini katika strong Institutions and not strong man/women🤣🤣🤣🤣
 
FURSA MPYA, HUWEKI ATA SHILINGI MOJA YAKO,
Tazama video za sekunde 35 (trailers za movie ) na ujipatie hadi dollar 100, unaweza kutoa kwa MPESA

Tukajaribu bahati, maana huweki pesa
 
Duh,
Hii ni hatari.
Mambo ya hovyo ndo yanapewa kipaumbele kwa sasa!
Ifike mahali machawa kama Tlaatlaah na wenzake waone aibu kutetea huu ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…