Pre GE2025 Hizi ndio taasisi zilizoanzishwa na Hayati Benjamin Mkapa. Umejifunza nini?

Pre GE2025 Hizi ndio taasisi zilizoanzishwa na Hayati Benjamin Mkapa. Umejifunza nini?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ungeandika pia Mkapa aliua Taasisi ngapi? Zaidi ya 300 kwa kisingizio cha ubinafsishaji. Kumbuka Kikwete alivyopata kazi ngumu sana kipindi chake mwanzoni kuanza kuzirudisha na kuzifufua kwa gharama kubwa. Mf. Reli, Bima, Viwanja vya ndege, mabenki, tanesco, atc etc.
Kweli unachekesha. Wale Wahindi wa Reli aliwaleta Mkapa? Mbona ABSA, na MICRO zinaenda vizuri? ESCROW/IPTL, TANESCO -Richmond alileta Mkapa?
 
Kwamba watu walikuwa hawalipi kodi kabla ya mkapa? Alianzishaje wakati kodi ya mapato ilikuwa inalipwa tangu enzi za Mjerumani?
Walio kuwa Wanakusanya Kodi kipindi hicho ni wizara ya fedha
 
Post ya kitoto mno.....

Umeweka maskhara mengi mno........

Alichokifanya hayati mzee Mkapa (Rip) ni kikubwa kwa ajili ya taifa ,kiko wazi na hakipingiki....

Nilitegemea umzodoe mh.Rais Samia kama angekuwa AMEZIFUTA hizo taasisi alizoanzisha mh.Mkapa....

Je mh.Samia AMEZIFUTA?!!
Amezifanya (TRA)kuwa.....
 
Mkapa hakuanzisha yeye jwa matakwa yake.

Bali ilikuwa mwingozo wa taasisi za kimataifa hasa word bank kwa nchi zote za africa ianzishe hayo mashirika kwenye nchi zao. . Ni kama corona vaccine vile zilivyochomwa kwa muda mmoja nchi zote za africa baada ya kuambiwa tuchome. Hivyo huwezi sema mama samia alianzisha taasisi ya corona vaccine kwa akili zake

Wakati Tanzania inaanzishwa TRA ndio muda huo huo kenya ilianzisha KRA, uganda ilianzisha URA, zambia ilianzisha ZRA
 
Hizi ni baadhi tu ya Taasisi zilizoanzishwa na Rais Mkapa;
1. TAA
2. TCRA
3. PPRA
4. BRELA
5. EWURA
6. TACAIDS
7. SUMATRA
8. TANROADS
9. TAKUKURU
10. TRA.
11. MKUKUTA.
12.MKURABITA.

Awamu ya sita ni
👇🏾

1. Samia Legal Aid
2. Goli la Mama
3. Samia App
3. Kazi Iendelee
4. Generation Samia
5. Mama Anaupiga Mwingi
6. Wasanii na Mikopo
7.Chawa wa Mama
8.kizimkazi Festival
9.Pika na Mama
10.Mitano Tena
Ahaaahaaaaa! Kweli mambo yanakwenda mrama siku hizi lazima tufanye kitu!
1739951324741.jpeg
 
Hizi ni baadhi tu ya Taasisi zilizoanzishwa na Rais Mkapa;
1. TAA
2. TCRA
3. PPRA
4. BRELA
5. EWURA
6. TACAIDS
7. SUMATRA
8. TANROADS
9. TAKUKURU
10. TRA.
11. MKUKUTA.
12.MKURABITA.

Awamu ya sita ni
👇🏾

1. Samia Legal Aid
2. Goli la Mama
3. Samia App
3. Kazi Iendelee
4. Generation Samia
5. Mama Anaupiga Mwingi
6. Wasanii na Mikopo
7.Chawa wa Mama
8.kizimkazi Festival
9.Pika na Mama
10.Mitano Tena
ccm ni uozo mtupu... Ila huyu bi chura kiziwi ni hopeless
 
Mkapa alikuwa na akili , maono mapana, mtengeneza njia pasipo na njia. Huyu shangazi mfuga CHAWA kama Lucas Mwashambwa, hana maono, hana ubunifu, yaani anamaliza uchumi wa Tanganyika kwa kujenga na kupeleka kila kitu kwao.

Tanganyika anawatimua Wamasai kwenye ardhi yao ili awape Waarabu, hii ni laana kubwa.

Kauza bandari yetu kwa DP WORLD kwa mkataba mbovu usio na ukomo.

Hili ni janga la kitaifa
Uwe na adabu na heshima
 
Hizi ni baadhi tu ya Taasisi zilizoanzishwa na Rais Mkapa;
1. TAA
2. TCRA
3. PPRA
4. BRELA
5. EWURA
6. TACAIDS
7. SUMATRA
8. TANROADS
9. TAKUKURU
10. TRA.
11. MKUKUTA.
12.MKURABITA.

Awamu ya sita ni
👇🏾

1. Samia Legal Aid
2. Goli la Mama
3. Samia App
3. Kazi Iendelee
4. Generation Samia
5. Mama Anaupiga Mwingi
6. Wasanii na Mikopo
7.Chawa wa Mama
8.kizimkazi Festival
9.Pika na Mama
10.Mitano Tena
Umeisahau ile ya wakina steve nyerere...
Pamoja na kadansee ya mama 😄

Ova
 
Mkapa aliamini katika strong Institutions and not strong man/women🤣🤣🤣🤣
 
FURSA MPYA, HUWEKI ATA SHILINGI MOJA YAKO,
Tazama video za sekunde 35 (trailers za movie ) na ujipatie hadi dollar 100, unaweza kutoa kwa MPESA

Tukajaribu bahati, maana huweki pesa
 
Hizi ni baadhi tu ya Taasisi zilizoanzishwa na Rais Mkapa;
1. TAA
2. TCRA
3. PPRA
4. BRELA
5. EWURA
6. TACAIDS
7. SUMATRA
8. TANROADS
9. TAKUKURU
10. TRA.
11. MKUKUTA.
12.MKURABITA.

Awamu ya sita ni
👇🏾

1. Samia Legal Aid
2. Goli la Mama
3. Samia App
3. Kazi Iendelee
4. Generation Samia
5. Mama Anaupiga Mwingi
6. Wasanii na Mikopo
7.Chawa wa Mama
8.kizimkazi Festival
9.Pika na Mama
10.Mitano Tena
Duh,
Hii ni hatari.
Mambo ya hovyo ndo yanapewa kipaumbele kwa sasa!
Ifike mahali machawa kama Tlaatlaah na wenzake waone aibu kutetea huu ujinga
 
Back
Top Bottom