Interested Observer
JF-Expert Member
- Mar 27, 2006
- 3,384
- 4,428
Kweli unachekesha. Wale Wahindi wa Reli aliwaleta Mkapa? Mbona ABSA, na MICRO zinaenda vizuri? ESCROW/IPTL, TANESCO -Richmond alileta Mkapa?Ungeandika pia Mkapa aliua Taasisi ngapi? Zaidi ya 300 kwa kisingizio cha ubinafsishaji. Kumbuka Kikwete alivyopata kazi ngumu sana kipindi chake mwanzoni kuanza kuzirudisha na kuzifufua kwa gharama kubwa. Mf. Reli, Bima, Viwanja vya ndege, mabenki, tanesco, atc etc.