Hizi ndio timu kubwa Afrika kwa sasa

Timu kutoa wachezaji kushiriki WC haiwezi kuwa sababu ya ukubwa wao, hiyo haipo kwenye vigezo.
 
Shame on you mtoa mada acha kupotosha uchangamshe genge those are African clubs with players who will perticipate world cup this year.
Rubbish 🔒
 
Timu kutoa wachezaji kushiriki WC haiwezi kuwa sababu ya ukubwa wao, hiyo haipo kwenye vigezo.
ila wachezaji wa simba wengi kuitwa timu ya taifa babra alisifia ni kutokana na ubora wa simba kimataifa au umesahau?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…