Hizi ndio zilikuwa enzi

Hizi ndio zilikuwa enzi

makokola, minazi mikinda, tambuja reli, kanyenye, ipuli, katete kote linafika.

usiniambie wewe ni school mate wa mie
Haswaa mkuu nimemaliza pale

Bila kusahahu chemchem ,mwinyi ,
Na huu msemo wa KUTEMPA mliutumia na nyinyi?
 
Camp langu hili..... Enzi za Isindagosi na mishe za issue..... Namuona Mwl. Ngimba na Kasalile.....
Kitu hicho!hv mwl Kasalile alitokea Tosa?
IMG-20200623-WA0044.jpg
 
Back
Top Bottom