Hizi ndizo degree ambazo zimesambaa mtaani

Kozi za ujuzi huwa hawaangalii vyeti . Maana ni kazi za vitendo.

Vyeti sio ishu kwenye animation. Bali ni ujuzi wa vitendo
Sawa inamana kwa wale ambao ujuzi wao wamechukulia youtube n

Hapo inakuaje unakuta hana cheti
 
Tunasoma hivo ivo ko ulitaka tusisome
 
Swali unarudia kuuliza huku nimeshalijibu kwenye comment zangu.

Vyeti siitaji kuviona. Vyeti havina umuhimu wowote . Nataka mtu anayejua kwa vitendo.

Haijalishi amejifunzia wapi
Sawa sawa mkuu nimekuelewa
 
Wanomaliza ni wengi, wanaoweza kufanya, vyuo vinawaandaa kua competitive kwenye soko la tech na computers. Hata wanaomaliza bussines nini nini hio wengine hata kusimamia genge la nyanya hawawezi
Wanaomaliza ni wengi sana...
Lakini sasa wenye uwezo ni wachache.
Unazani hii haiwezi kuchangia wengi kuwepo mtaani..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…