Hizi ndizo degree ambazo zimesambaa mtaani

Hizi ndizo degree ambazo zimesambaa mtaani

Kozi za ujuzi huwa hawaangalii vyeti . Maana ni kazi za vitendo.

Vyeti sio ishu kwenye animation. Bali ni ujuzi wa vitendo
Sawa inamana kwa wale ambao ujuzi wao wamechukulia youtube n

Hapo inakuaje unakuta hana cheti
 
Degree ambazo zimesambaa mtaani na wengine WANAFUNGUA MADUKA NA KUJIAJIRI KWA PAMOJA TUNAITA KUPAMBANA:

DEGREE ZENYEWE NI HIZI:

Ualimu,
Human Resource
Economics
Law
Procurement and supply,
Secretary
Banking and Finance,
Community Development,
Public Relation,
Business Administration,
Record Management
Sociology
Sales marketing
Education
Business Management.

Supply imekuwa kubwa mno kuliko Demand
Kwenda kusomea hizi Course kwa sasa ni Kupoteza Hela na Mda wako tu

Supply ni Kubwa sana Na kila Mwaka inaongezeka Kuliko Demand
Ajira zimekuwa ngumu kupatikana cz watu wengi wamesomea vitu vile vile common miaka yote na vingine technology imetake place

Hali ni mbaya vijana wanapoteza mda na hela kusomea vitu ambavyo haviwasaidii cz kila mtu kasoma hivo vitu, Vijana wanachoma mahindi kwasabab ya kusomea Course ambazo zina supply kubwa sana kuliko Demand

Ushauri kwa Wadogo zangu angalieni na Course za kusoma sio unasoma ilimradi umesoma then unakuja kuteseka mtaani ajira hakuna

Unakuta mtu anasomea Human Resource au Procurement and supply kwa sasa then anategemea kuajiriwa wakati Supply ni Kubwa kuliko Demand then ukiangalia hizo faculty Technology imetake place

Ni Moja ya Cha Chanzo cha Ukosefu wa Ajira Kwa Tanzania, Watu wanasoma vitu vile vile ambavyo kila mtu amesoma miaka nenda rudi Kwa style hii Kazi za kuwaajiri wote zitatokea wapi.
Tunasoma hivo ivo ko ulitaka tusisome
 
Swali unarudia kuuliza huku nimeshalijibu kwenye comment zangu.

Vyeti siitaji kuviona. Vyeti havina umuhimu wowote . Nataka mtu anayejua kwa vitendo.

Haijalishi amejifunzia wapi
Sawa sawa mkuu nimekuelewa
 
Wanomaliza ni wengi, wanaoweza kufanya, vyuo vinawaandaa kua competitive kwenye soko la tech na computers. Hata wanaomaliza bussines nini nini hio wengine hata kusimamia genge la nyanya hawawezi
Wanaomaliza ni wengi sana...
Lakini sasa wenye uwezo ni wachache.
Unazani hii haiwezi kuchangia wengi kuwepo mtaani..?
 
Back
Top Bottom