Hizi ndizo dhambi kubwa

Hizi ndizo dhambi kubwa

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Dunia inavyozidi kuendelea kuna dhambi ambazo kila kona zinaongoza kwenye billboard za mbinguni.

Hizi dhambi huwezi kukosa kusikia kwenye habari hata siku moja.

1-uzinzi
2-mauaji
3-dhulma
4-ushirikina

miaka nenda rudi lazima ukutane nazo
 
dunia inavozidi kuendelea kuna zambi ambazo kila kona zinaongoza kwenye billboard za mbinguni.

hizi zambi uwezi kukosa kusikia kwenye habari hata siku moja.

1-uzizi
2-mauaji
3-zuluma
4-ushirikina

miaka nenda rudi lazima ukutane nazo
Sikupingi Mkuu
 
Uzizi ndo nin
 
Ipi inasameheka na ipi haisameheki hapo?
 
dunia inavozidi kuendelea kuna zambi ambazo kila kona zinaongoza kwenye billboard za mbinguni.

hizi zambi uwezi kukosa kusikia kwenye habari hata siku moja.

1-uzizi
2-mauaji
3-zuluma
4-ushirikina

miaka nenda rudi lazima ukutane nazo
Hapa sijafanya mbili mauwaji na ushirikina lakini naomba niulize hivi dola au chama tawala kikidhulumu kura na majimbo ya upinzani Nani specific anapata dhambi.
 
Daaaa afadhali dhambi yangu ya ulevi haipo
Hatuwezi kukosa pa kuiweka hii!
Hii inakaa kwenye ushirikina!.. cheki mfanano sasa,mlevi akilewa huanza kushirikina na wenzake katika kulewa utasikia tu uko wapi..? Njoo huku tupate mbili tatu wakimaliza wakiwa wanaenda nyumbani wanakosea nyumba sana! Huo ndo ushirikina inakaa hapo halafu hata kwenye uzinzi inakaa maana ulevi na nyege ni kulwa na doto..😂

Sisi waongo Sasa naona hatupo kwenye list..😎
 
Hatuwezi kukosa pa kuiweka hii!
Hii inakaa kwenye ushirikina!.. cheki mfanano sasa,mlevi akilewa huanza kushirikina na wenzake katika kulewa utasikia tu uko wapi..? Njoo huku tupate mbili tatu wakimaliza wakiwa wanaenda nyumbani wanakosea nyumba sana! Huo ndo ushirikina inakaa hapo halafu hata kwenye uzinzi inakaa maana ulevi na nyege ni kulwa na doto..[emoji23]

Sisi waongo Sasa naona hatupo kwenye list..[emoji41]
Hahahaha ulevi sio dhambiii
 
Back
Top Bottom