Hizi ndizo dhambi kubwa

Hizi ndizo dhambi kubwa

Kuna tofauti gani kati ya uzinzi na uasherati? Ipi ndio dhambi kubwa? Wachawi hawaaibishwi sana wanaogopwa kwa ushirikina wao
 
Attachments

  • VID-20210604-WA0002.mp4
    9.4 MB
Kama hiyo yakwanza ndo dhambi kongwe toka enzi na enzi hatar Sana hiyo yakwanza tena kwa siku ya Leo ndo inafanywa Sana
 
Mimi navyojua ili iwe dhambi lazima kuwe na mtu anaeumia kutokana na hicho kitendo. Sasa nashindwa kuelewa uzinzi inakuaje dhambi wakati wote mnafurahia
 
Dunia inavyozidi kuendelea kuna dhambi ambazo kila kona zinaongoza kwenye billboard za mbinguni.

Hizi dhambi huwezi kukosa kusikia kwenye habari hata siku moja.

1-uzinzi
2-mauaji
3-dhulma
4-ushirikina

miaka nenda rudi lazima ukutane nazo
Umesahau kula riba ambayo watu hawaiwazi hata kidogo
 
Mimi navyojua ili iwe dhambi lazima kuwe na mtu anaeumia kutokana na hicho kitendo. Sasa nashindwa kuelewa uzinzi inakuaje dhambi wakati wote mnafurahia
Pamoja na kwamba Mungu kasema ni dhambi bado unaona si dhambi🙄🙄
Kuna haja kubwa ya kumwomba Mungu atuongoze
 
Mawazo mabaya ndiyo dhambi ya mauti unaweza kutubu dhambi zote lakini dhambi ya mawazo ni ngumu kuigundua.
 
Dhambi ni kosa au uvunjifu wa sheria
Je hizo dhambi ulizozi-ainisha ni kutokana na sheria aliopewa Musa kutoka kwa MUNGU au umeamua kuandika baadhi ya wewe unazoziona .
Pili wewe ni muumini wa MUNGU yupi JEHOVAH (MUNGU wa mbinguni ) au Allah
Kosa au uvunjifu wa sheria ni uhalifu.Dhambi Ni kwenda tofauti na maamrisho(amri za Mungu),maelekezo,mapenzi mema ya Mungu kwa wale wenye Imani naye.
 
Kosa au uvunjifu wa sheria ni uhalifu.Dhambi Ni kwenda tofauti na maamrisho(amri za Mungu),maelekezo,mapenzi mema ya Mungu kwa wale wenye Imani naye.
Kwa hiyo ukizini utakua umefanya uhalifu?
Umemfanyia uhalifu nani , Mungu au ?
 
Back
Top Bottom