Hizi ndizo gharama za kukodi Uwanja wa Azam Complex

Kuna team hapa bongo zinakaribia miaka 100 bado tu hazina viwanja, viongozi wanakuja wanapiga na kusepa.
Wewe ni shabiki wa moja wazo yaani Yanga au Simba sasa basi je una Jezi mpya? Unaingiaga uwanjani? Una kadi na unailipia? Au ni shabiki mdomo wakati huna mchango kwa club
 
Waongeze bei kwa Simba na Yanga, haya matimu yapo miaka dahali ila hayana viwanja wala plan zinazoeleweka...ni aibu
Wewe ni shabiki wa moja wazo yaani Yanga au Simba sasa basi je una Jezi mpya? Unaingiaga uwanjani? Una kadi na unailipia? Au ni shabiki mdomo wakati huna mchango kwa club
 
Wewe ni shabiki wa moja wazo yaani Yanga au Simba sasa basi je una Jezi mpya? Unaingiaga uwanjani? Una kadi na unailipia? Au ni shabiki mdomo wakati huna mchango kwa club
 
Wewe ni shabiki wa moja wazo yaani Yanga au Simba sasa basi je una Jezi mpya? Unaingiaga uwanjani? Una kadi na unailipia? Au ni shabiki mdomo wakati huna mchango kwa club
😂😂😂 Dah mkuu kwenye michezo napendelea kusikia mashabiki wakitambiana ila sina ushabiki wa simba au yanga zaidi nafurahia kuona tambo na majigambo. Usiwe mfalme njozi sio kila mtu ni simba au yanga. Kuhusu jezi dah sijawahi nunua ya timu yoyote hata za ulaya sina.
 
Ile timu ni kivuli cha kuchukulia tenda kama hizi maana hii nchi bila fitna na unafiki hupati tenda.Ndo maana wenyewe hawajali ubovu wa litimu lao.
 
Mali yake apange atakavyo.
 
Na hyo ndyo maana halisi ya kuitwa vyura
 
Na nyinyi pia ni wale wale tu. Timu anaimiliki Moo!! Bla bla tu ndiyo zimetawala. Uwanja wenu wa Bunju mpaka leo hauna maendeleo ya kueleweka! Mlichangishwa hela za kujengea uwanja, wahuni wakazitafuna!!

Wala hamna tofauti yoyote na Yanga.
 
Kunatofauti kati ya anaye Kodi hadi kiwanja cha mazoezi na anayefanya mazoezi kwenye kiwanja chake no wonder team ya kitanzania inakopa B.5 kuendesha team .
 
Kiwanja cha Azam hakikujengwa na timu ya Azam FC bali kilijengwa na kampuni ya biashara ya Azam ambayo pamoja na mambo mengine inadhamini pia timu za Yanga na Simba kwenye mashindanoa ya Tanzania Premier League
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…