Hizi ndizo gharama za kukodi Uwanja wa Azam Complex

Hizi ndizo gharama za kukodi Uwanja wa Azam Complex

Azam complex

Kufanya mazoezi mchana - laki 6

Kufanya mazoezi usiku - Milioni 1 na nusu

Mechi - milioni 5.9

Kwa wahindi wanavyopenda kubana matumizi, ni heri timu icheze uwanja wa Uhuru

Photo by Jemedari Said Kazumari on September 21, 2023. May be a video game screenshot of score...jpg
 
Kwani kucheza mechi hizo hela zinalipa timu au bodi ya ligi? Nini maana ya zile percent wanazochukua bodi ya ligi na TFF
 
Acha said salim apige pesa kwanza ameweka gharama ndogo sana kwa uwekezaji wake ilitakiwa kwa mechi ilipiwe 15M, kama unaona kubwa kajenge uwanja wako
 
Acha said salim apige pesa kwanza ameweka gharama ndogo sana kwa uwekezaji wake ilitakiwa kwa mechi ilipiwe 15M, kama unaona kubwa kajenge uwanja wako
Kuna kumbi za harusi/mikutano wanachaji mara 2 ama zaidi. Hio hela ni ndogo sana kwa uwanja.
 
Kuna kumbi za harusi/mikutano wanachaji mara 2 ama zaidi. Hio hela ni ndogo sana kwa uwanja.
Kabisa mkuu, kwa nyakati tulizonazo hizi tim kongwe kukosa uwanja ni aibu, jamaa inatakiwa aongeze gharama
 
Tena imgefaa waweke 1B ili akili ziwakae sawa Hawa viongozi uchwala wa simba na yanga
 
Azam complex

Kufanya mazoezi mchana - laki 6

Kufanya mazoezi usiku - Milioni 1 na nusu

Mechi - milioni 5.9

Kwa wahindi wanavyopenda kubana matumizi, ni heri timu icheze uwanja wa Uhuru

View attachment 2757560
Sawa muhindi anabana pesa na ni anazo nyingi sanaa yani sanaaa elewa neno sanaa.
Vipi wewe usiyebana ukiugawa mshahara wako kwa siku unafika hata elfu 17?
 
Klabu ya Azam Fc imetoa gharama kwa timu zenye kutaka kukodi na kuutumia uwanja wake wa Azam Complex pale kwenye maskani yao Chamazi.

Mazoezi kwa timu inayotaka kutumia uwanja huo kwa siku moja ni Shilingi laki sita ( 600,000 ) bila taa.

Ukitaka kufanya mazoezi na taa (usiku) basi utalazimika kulipa Shilingi Milioni Moja na Laki Tano kwa siku moja tu.

Ukitaka kucheza mechi pale kama anavyofanya Yanga, basi utalazimika kulipa Shilingi Milioni Tano na Laki Tisa tu. (5,900,000 ) na haijalishi mechi iwe mchana au usiku gharama ni hiyo.

Kwa timu za nje ya Tanzania gharama ya mazoezi ni Dola Elfu Moja ambazo ni sawa na karibu Milioni Mbili na Laki Tano.

Huku timu ya nje ikitaka kucheza hapo Azam Complex watalazimika kulipa Dola Elfu Tano sawa na Tshs Milioni 12 na Laki Tano.

Safi sana Azam Fc endeleeni kufanya maokoto maana timu hamna walau maokoto yapunguze gharama za uendeshaji wa timu.

View attachment 2732630
Kukodi kwa ajili ya sherehe ya harusi bei zipoje? Vinywaji hapo hapo
 
Back
Top Bottom