Mambo leo kaenda wapi aisee yupo kweli?MAHERA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo leo kaenda wapi aisee yupo kweli?MAHERA
Na ubaguzi wa majimbo😅😅Vile vitambulisho feki je mbona hukutaja?
Mkuu jaribu kuukubali uchambuzi wa kina uliofanywa na hawa waTanzania wenzetu bila kuwa na uhafidhina kwa kutengua hoja walizoziweka mezani
Zilikuwa za kupigiwa 10% alale mbele.Ndugu yangu hizi flyovers zimetumia fedha nyingi za walipa kodi wa nchi hii lakini zimeshindwa kuleta ahueni ya foleni. Ni bora zipigwe nyundo na kujenga feeder roads. Duniani kote flyovers hazijawhi kutatua tatizo la foleni ndugu yangu. Fanya utafiti utaona ninachokuambia.
Ni wivu tu. Utakuua.Mkuu unafikiri kwa sababu wako USA wao ndio wachangia bora au upeo wao ni mkubwa kuliko mimi ambaye nipo Narungombe? Nakuhakikishia JPM hana mpinzani, hizi propaganda za mitandaoni hazitasaidia kitu. CCM wana wanachama ambao wamejiandikisha na wanauhakika wa kushinda kutokana na sera na mambo ambayo JPM amefanya. Only a fool will believe that hakuna haki Tanzania. Je, USA kuna haki kuliko Tanzania? Lisu will never win any election fact. Mwanzo mlisema membe ndio tishio. Wewe na akili zako unafikiri Lisu anaweza kuwa rais? Stop dreaming, JPM will never lose this election come what may.
Mkuu unafikiri kwa sababu wako USA wao ndio wachangia bora au upeo wao ni mkubwa kuliko mimi ambaye nipo Narungombe? Nakuhakikishia JPM hana mpinzani, hizi propaganda za mitandaoni hazitasaidia kitu. CCM wana wanachama ambao wamejiandikisha na wanauhakika wa kushinda kutokana na sera na mambo ambayo JPM amefanya. Only a fool will believe that hakuna haki Tanzania. Je, USA kuna haki kuliko Tanzania? Lisu will never win any election fact. Mwanzo mlisema Membe ndio tishio. Wewe na akili zako unafikiri Lisu anaweza kuwa rais? Stop dreaming, JPM will never lose this election come what may.
Unataka data zipi? Umeme tu kila kona ya Dar ilikuwa na magenerator madukani kelele mtindo moja mgawo wa umeme kila kona. Je, siku hizi vipi? Makusanyo ya Bandari sasa hivi yako kwenye Billion 5 na ushee kila siku achilia mbali Serikali ambayo ipo makini kwenye kila Jambo. JPM amewaacha wazungu wanatetemeka kwa sababu wanafahanu kinachofuatia. Afrika nzima itajikomboa kutokana na udhalimu wao. JPM hana mpinzani.Tupia data hapa tuone ushawishi wa CCM Mpya kwa wapiga kura
Unataka data zipi? Umeme tu kila kona ya Dar ilikuwa na magenerator madukani kelele mtindo moja mgawo wa umeme kila kona. Je, siku hizi vipi? Makusanyo ya Bandari sasa hivi yako kwenye Billion 5 na ushee kila siku achilia mbali Serikali ambayo ipo makini kwenye kila Jambo. JPM amewaacha wazungu wanatetemeka kwa sababu wanafahanu kinachofuatia. Afrika nzima itajikomboa kutokana na udhalimu wao. JPM hana mpinzani.
Naamini mbele ya niliyoyaona Mungu wangu anashuhudia akipenda Mimi ni mkatoliki tundu lisu atashinda kwa namna ambayo jeshi itabidi liingilie Kati.Bila kupepesa macho wala kutikisa masikio, naingia kwenye mada moja kwa moja. Katika andiko hili nimebainisha kinagaubaga mambo ambayo yatamuangusha Magufuli na kumuinua Hon Dr Tundu Antipas Lissu kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2020 kama ifuatavyo...
Ndio uhuru huo wa kuamua, una siku chache sana hadi tarehe 28 whether you like it or not JPM ndiye rais na hao makuwadi wenu ambao mliwaandaa janja yao tunaifahamu hamchomoki. You are too late.Faida ya Makusanyo haya hayaonekani na hayana mgusu ktk maisha ya watu ndiyo maana wananchi wapiga kura hawaielewi sera hii ya mgombea wa CCM Mpya John Magufuli .
Watu hawali mabarabara ya mbali, ndege za ATCL, madaraja ya baharini wala kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Chato n.k kwa kifupi Maendeleo ya Vitu.
basi sawa maana chuki mliianza wenyewe kwa kuuwa watu mtaona watanzania watakavyowajibu mkiiba kura.Ndio uhuru huo wa kuamua, una siku chache sana hadi tarehe 28 whether you like it or not JPM ndiye rais na hao makuwadi wenu ambao mliwaandaa janja yao tunaifahamu hamchomoki. You are too late.
Tuna wanachama waliojiandikisha hai ambao watapiga kura. nyie nani atawapigia kura? khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Mlevi wa konyagi peke yake khe hkhe khe heeeeeeeeeeeeeeeeeee kwanza mpo nje ya Tanzania yanayotokea Tanzania mnasimuliwa tu Aibu! Mlijifanya kukimbia sasa tanzania kumenoga mmebaki na makapi tu ngoja mfe na corona.basi sawa maana chuki mliianza wenyewe kwa kuwa watu mtaona watanzania watakavyowajibu mkiiba kura.
Tulimuua nani? Wewe kwanza rudisheni pesa mlizokuwa mnachota NSSF? Pamoja na miradi yenu hewa ya Kigamboni?basi sawa maana chuki mliianza wenyewe kwa kuuwa watu mtaona watanzania watakavyowajibu mkiiba kura.
We ongea kama mpumbavu ila CCM haipiti kabisa na shida sio CCM shida ni Magufuli siasa zake za kuuwa watu hebu tukuulize Ben Saanane Yuko wapi? TujibuTuna wanachama waliojiandikisha hai ambao watapiga kura. nyie nani atawapigia kura? khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Mlevi wa konyagi peke yake khe hkhe khe heeeeeeeeeeeeeeeeeee kwanza mpo nje ya Tanzania yanayotokea Tanzania mnasimuliwa tu Aibu! Mlijifanya kukimbia sasa tanzania kumenoga mmebaki na makapi tu ngoja mfe na corona.
Muulize mlevi wa Konyagi?We ongea kama mpumbavu ila CCM haipiti kabisa na shida sio CCM shida ni Magufuli siasa zake za kuuwa watu hebu tukuulize Ben Saanane Yuko wapi? Tujibu
Miradi hewa ya kigamboni unamuuliza Nani? Kwani hatukuwa na mamlaka ya nchi? Iulize mamlaka ya nchi chini ya rais John momose cheyo UDP ndio walioitawala Tanzania mwaka Jana.Tulimuua nani? Wewe kwanza rudisheni pesa mlizokuwa mnachota NSSF? Pamoja na miradi yenu hewa ya Kigamboni?
Mwaka | Pato la Mkazi kwa mwaka (per capita) | Pato la Mkoa kwa mwaka(GDP) (000) |
2009 | 767,948 | 695,361 |
2010 | 913,678 | 843,880 |
2011 | 1,061,282 | 999,604 |
2012 | 1,341,117 | 1,159,599 |
2013 | 1,503,942 | 1,312,577 |
2014 | 1,677,336 | 1,482,763 |
2015 | 1,901,044 | 1,690,403 |